Ana miaka 31 lakini kama mtoto wa miaka 16Naunga mkono hoja yule faith afu kumbe ni mjomba mzuziki kule lebanoni mtoto mzuri sana yule walahi
Hivi mlikosana nini?Kasemaje Tena π π π kaanza kutukana muache atukane atakavyo πππ
Mimi siyo mnene sina mwili mkubwa ila mara ya mwisho kabla sijaanza kuumwa nadhani nilikuwa na 49pole sana mrembo.mwanamke anatakiwa awe na wastani wa kilo 52-60 au wewe bado mdogo?
ahaa umevuka miaka 27?Mimi siyo mnene sina mwili mkubwa ila mara ya mwisho kabla sijaanza kuumwa nadhani nilikuwa na 49
Asante sana!Una mguu mzuri sana
Uje na id yako sio parody Sina muda wa kujibu id mbili za mtu mmoja..!!wee Malaya mbona unatukana sana?Leo hujapata wakumuuzia kumer nini?
Nop badoahaa umevuka miaka 27?
kama bado usihofu nikawaida tu wewe bado mdogo mtoto mzuriNop bado
Kweli but ntajitahidi kulakama bado usihofu nikawaida tu wewe bado mdogo mtoto mzuri
Bonge la dadaNjoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
View attachment 3468982
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.
Daah, mpaka nakuonea wivu, mimi najua kwangu haiwezekani kabisa!Hongera yako mimi nimepungua hapa nina kilo chini ya 50π₯²
Najivunia kuwa mwanamke wa shoka
Mimi nimepungua kwasababu nimeumwa umwa sana ila zinakuwaga kwenye 50 hivi hazijawahi kuzidiDaah, mpaka nakuonea wivu, mimi najua kwangu haiwezekani kabisa!
Sijui aisee π π nashangaaga tu anatukana huyoHivi mlikosana nini?
Mbona bifu lenu huwa haliishi?
Mtoto mzuri sana yuleAna miaka 31 lakini kama mtoto wa miaka 16
Wengine sijui kwanini tunawahi kuzeeka au ugali?π€
Waswahili mna maneno πKijora bila tako ni kanzu tu..
Ni ukweli sio maneno ππWaswahili mna maneno π
Mbona nimetoka kidogo nimerudi nakuta tafrani, kulikoni tena πNi ukweli sio maneno ππ
Pole sanaMimi nimepungua kwasababu nimeumwa umwa sana ila zinakuwaga kwenye 50 hivi hazijawahi kuzidi
πππNaonewa wivu mwenzio utajiri wangu una mpa mtu bipolar ππππ au nakosea ndugu yangu 100 othersMbona nimetoka kidogo nimerudi nakuta tafrani, kulikoni tena π