Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,660
- Thread starter
-
- #381
Kwanini MAMBWA lakini ππNajivunia ujeuri lasivyo ningekua na idadi kubwa ya kudate na MAMBWA πΉπΉ
Ataoga mitusi na udugu wetu mkinga huwa anataka alipwe na pesa ya kupotezewa muda π πwe muache na mimi namzoom tu angejua udugu wetu akikasirika anadai breakup na mitusi juuπ€£π€£π€£π€£
na yule mkinga kwa kupenda pesa hajamboπππ kila siku naomba connection aniajiri nikasaidizane na kijana wake mtu mfupi ila haniskii sijui kwanini,, jaribu kuongea nae anieleweAtaoga mitusi na udugu wetu mkinga huwa anataka alipwe na pesa ya kupotezewa muda π π
Anaichungulia pesa yake, akifikiria inabidi akulipe kila mwezi, anaona parefu sana π°π°na yule mkinga kwa kupenda pesa hajamboπππ kila siku naomba connection aniajiri nikasaidizane na kijana wake mtu mfupi ila haniskii sijui kwanini,, jaribu kuongea nae anielewe
hili nalo neno ngoja nijaribu,,, ila dada angu ni tajeeer hizi sio shida zake jamniππ sijui kwanini anakua mgum hivi dahπAnaichungulia pesa yake, akifikiria inabidi akulipe kila mwezi, anaona parefu sana π°π°
Hebu mwambie akuweke tu shop uwe winga, utajilipa mwenyewe kwa commission.
Sumu haijaribiwi kwa kulamba..!! πΉType yangu kabisa π€
Huyo kampeni zake kaanza kitambo anapenda hekaheka zangu..!! πΉπΉHuyu Nomadiq naona anamuwinda Lamomy
Kasema type yake ni wanawake jeuri π π π kama ujeuri unauweza unaweza kujichomeka!
Blockchain njoo hapa, uniambie ulikua wapi?
πΉπΉπΉ Wanaume wote mbwaKwanini MAMBWA lakini ππ
πΉπΉπΉ Ntakuchapawe muache na mimi namzoom tu angejua udugu wetu akikasirika anadai breakup na mitusi juuπ€£π€£π€£π€£
Khaaaaaβ¦!!! πΉπΉπΉAtaoga mitusi na udugu wetu mkinga huwa anataka alipwe na pesa ya kupotezewa muda π π
πΉπΉπΉ Wewe slay queen utaweza kushuka na mzigo wa vijora kutoka ghorofa ya 10?na yule mkinga kwa kupenda pesa hajamboπππ kila siku naomba connection aniajiri nikasaidizane na kijana wake mtu mfupi ila haniskii sijui kwanini,, jaribu kuongea nae anielewe
Anaweza kuwinga juani bila sunscreen πΉπΉπΉAnaichungulia pesa yake, akifikiria inabidi akulipe kila mwezi, anaona parefu sana π°π°
Hebu mwambie akuweke tu shop uwe winga, utajilipa mwenyewe kwa commission.
Utaweza kulala na nyoka? πΉπΉπΉhili nalo neno ngoja nijaribu,,, ila dada angu ni tajeeer hizi sio shida zake jamniππ sijui kwanini anakua mgum hivi dahπ
Hadi mshamba_hachekwiπΉπΉπΉ Wanaume wote mbwa
Kuna matajiri humu wana wanadeal na bilions tu, wanaishi majuu, huwaonagi wanavyotamba humu π πKhaaaaaβ¦!!! πΉπΉπΉ
Na pesa zenyewe wanazo sasa??
Ngoja aje, mimi binafsi siwezi kabisaAnaweza kuwinga juani bila sunscreen πΉπΉπΉ
Analijua jua la kkoo lakini?
Linakupiga mpk ukiulizwa rais wa USA nani? Unajikuta unasema chalamila oohhh..!! πΉπΉπ€£
Mimi atasema ni sokwe kabisaπ
Huyo ndio no 1 bosco kabisa πΉπΉHadi @mshamba_hachekwi
πΉπΉπΉ Waongooo mahi..!!Kuna matajiri humu wana wanadeal na bilions tu, wanaishi majuu, huwaonagi wanavyotamba humu π π
Mimi atasema ni sokwe kabisaπ
π€£ π€£ daaah!Huyo ndio no 1 bosco kabisa πΉπΉ
Najua, ukiona mtu anajigamba sana basi ujue hakuna kitu!πΉπΉπΉ Waongooo mahi..!!
Keyboard masifa hao, hawana shinkumi kipande njaa tupu..!!
Tena unaweza ukawa umewapita maisha trust me..!!
Nimecheka kama mjinga π€£π€£Hao waliopo majuu kazi yao kupelekea moto vibabu na vibibi vya kitasha..!!
Wengine wenye nguvu za kuku (mahanithi) kazi yao kuchambisha wazungu. Wenye sura za NIPIGE TAFU kulima mashambani na kutunza mifugo..!! πΉπΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Haa haa, ukipigwa vizuri utatulia πNinakoelekea nna dalili zote za kupigwa..!! UTANIPONZA MAHI
Wewe ulikuwa unafanya mchezo mbaya umeshtuka kunywa maji..!! πΉπΉπ€£ π€£ daaah!
Najua, ukiona mtu anajigamba sana basi ujue hakuna kitu!
Nimechekaa kama mjinga π€£π€£
View attachment 3555241
Haa haa, ukipigwa vizuri utatulia π