Nini umuhimu wa Lobola kwa binti asiye kigoli?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Wana MMU

Hivi unajiskiaje mwanaume kulipa mahari kwa ajili ya mwanamke asiye kigoli?

Thamani ya mwanamke ni seal. Kama hana seal alafu ukalipia seal ni sawa na kununua tumba kwa bei ya dukani.

Wazungu wana kamsemo kao "A woman ability to pair bond mojogamously is inversely propotionately to the number of partners she has experienced."

Idadi ya wanaume ambao mwanamke ametoka nao kimwili inaathiriki uwezo wake wa asili wa kudumu na mwanaume mmoja hapo baadae.

Sasa wakulungwa kwanini kuna baadhi ya wanaume wanaona sawa hata kulipia maali aina hiyo ya mwanamke?

20210315_173424.jpg
 
Nilifikiri ni Jokajeusi kabadili ID

On a serious note. Hao mabikra mnawapata wapi siku hizi? Sisi hawa hawa wanaume tunavibomoa vibinti vibichi vikiwa huko form 2. Sasa kweli mpaka binti akamalize chuo kikuu bila kubomolewa, inawezekana kweli? Na mpaka chuo kikuu, mwanaume unakuwa umepitia mabinti wangapi?

Kupata bikra siku hizi ni vigumu sana kuliko hata kushinda kamari...
 
hivi bikira inatoka wapi kama wanaume wenyewe ndio mlio na uchu wa kuanza kuvibememnda vitoto vya watu vingali vichanga?

wewe unayetaka hiyo bikra,wewe ni bikra?

Natamani sana siku moja nione thread kutoka kwa mwanaume iseme wanaume tuache kujipigia pigia mabinti wa watu ili tuoe bikra

naona kama wimbo umebase Zaidi kwa hizi jinsia za kike,kwani wanawake huwa wanajitoa bikra zao wenyewe?
 
Kwa nini hata wewe usianzishe mada ya hivyo.
 
Hebu mpate watoto wa kike washughulikiwe mapema halafu watokee wanaume kama ninyi wanautafuta sealed tuone.
 
Back
Top Bottom