Nini tofauti

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Tofauti ya nakupenda,nakuhitaji, ni nini
 
tofauti ni kwamba kupenda ndio kunaanza kuhitaji ndio kufate
 
Du hapo mmenipa na lingine na kutamani je
 
Du hapo mmenipa na lingine na kutamani je
hili ndio linaanza ndio ifate kupenda then ije kuhitaji upo sasa
unatamani kwanza ndio uje upende
vyote vinaingiliana
 
Huwezi kumpenda mtu bila kumtamani.
Au cjajibu swali?
 
eeh uliambiwa unapedwa au unatamaniwa?kipende watu wakitamani
 
Mmmmmmh!
 
Unaweza ukahitaji lakini usipende
 
ur 100% right

I dont think so CUTE...
U need someone because you love them..
Kwangu nadhani (in its true, genuineness)..kuhutaji preceeds kupenda!
 
Last edited by a moderator:
I dont think so CUTE...
U need someone because you love them..
Kwangu nadhani (in its true, genuineness)..kuhutaji preceeds kupenda!
unamtamani kwanza ndio uje umpende na bada ya kukaa naye kwa mda na kumzoea ndio unaanza kuona u need him/her in ur life ila huwez kuanza kumpenda ndio uje utamani au uanze na kuhitaji ndio uje upende umalizie na kutamani...as i know hua mtu unaona kitu unakitamani faster as u can bada ya dk kama kadhaa kupita ndio unaanza kukipenda ila tamaa always ndio huanza kwanza
 

umenena
 

Kwa mtiririko wa what starts tunaweza kubishana hadi kesho because there are many things pyschologists will argue precede lob=ving someone...hapo wacha nikubaliane na wewe!
Mi nlikuwa nafanya reference ya kipi ni greater than the other....where i think, needing someone encompasses loving them.
Kutamani uko kwa kidunia zaidi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…