asante mkuuSoftware engineering wanasoma vitu vyote vya computer science kama (database management, software preparation, network management, programming)
But computer science wanasoma vitu baazi vya software engineering pia Computer science hawa deal na na Mambo ya umeme wa pc
Kama una kichwa kizuri kasome Comp Eng. Japo kibongo bongo wanafanana ila Comp eng inakua na something extra mfano electronics na sizani kama watu wa CS wanasoma C++ kama kozi ya lazima.Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?