Nini tofauti ya kilichofanyika Zanzibar na kenya

fizo talent

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
2,257
3,882
Habari wana jamvi,kila mtu anajua kilichotokea Zanzibar ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na ule wa marudio,pia tuliona vyama vya upinzani vilivyoolaani tukio lile mpaka kufikia kutoka bungeni walichodai kutomtambua rais shein baada ya uchaguzi wa marudio.
Kila mtu anajua na aliona kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini akitangaza nia ya chama ya kumuunga mkono rais aliyekua madarakani kabla ya uchaguzi mheshmiwa Uhuru, pamoja na yaliyotokea baada ya uchaguz wa awali na huu wa marudio naona viongozi wa upinzani nchini wapo kimya hawajazungumzia lolote,je ni sawa mchakato ulivyoendeshwa ulikua ni sahihi au kwa kua upande waliokua wanauunga mkono ndio upo madarakani ndio mana wamekaa kimya au kukaa kimya kwao inadhihirisha hata kile kilichofanyika Zanzibar kilikua ni sahihi.

Mwananchi wa kawaida
 
Vitu viwil itofauti kabisa kama mbingu na ardhi .Kenya ni uamuzi wa Mahakama Zanzibar yale talikuwa mapinduzi ya Jecha bana
 
Back
Top Bottom