Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

Hahaha watu wanalalamika nini jamani na wameona onyoo usifungue kama unapressure...ahahah. Inabidi ibadilike heading iwe jua kama unapressure au la....?
 
Shenzi kabisa! usirudie tena kuweka midude kama hii.inawezekana unafuga misukule nyumbani kwako.pumbaaafffffffffffffffffffffffffffffffffffu!!!!!!!!
Wabongo bana, mtu umepewa tahadhali unataka nini tena.
 
Du! Yan ilivoanza tu nikazimia ,nilipozinduka nkakuta laptop imezima ndo nimeiwasha sa hivi nijaribu kuwaasa wenzangu wenye presha -don dare to open it!
 
It is scary kama hujajiandaa for what you are going to see and hear!!
 
tahadhali gani unataka zaidi ya hiyo alioweka? au hukuelewa
ila dah imenistua kiduchu, ningefungua usiku sijui ingekuwaje!
Last edited by Moseley; 10th August 2011 at 07:43 PM.
 
Shenzi kabisa!! Ungekuwa karibu lazima ningekukata kibao, k.u.m.a nina zako. Nusura uniue nyoko wewe!!
jitahidi kuuzuia hasira yako na epuka kutumia lugha kali jifunze kuwa mvumilivu nadhani hutafanya tena
 
Mlioifungua tudokezeeni inahusu nini ili tuamue kufungua au kuacha

acha kabisa kusikia, ni noma, looh! nusura nife km wengine, shenzi kabisa. ( sijaifungua siijui hata ikoje, nimeungana tu na wengine wanaosema wamefungua, ha ha ha ha ha haaaaa.....)
 
sipati picha ukikutana live na dudu kama hili
 
Safi sanaa.. nimeipenda hii
weka nyingine hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…