Nini tofauti ya Hirizi, Rozali na Tasbihi?

Nini tofauti ya Hirizi, Rozali na Tasbihi?

Hirizi wanatumia Wachawi na washirikina katika mambo yao.

Rozari wanaitumia wakristo hasa Waroma katika Ibada zao.

Tasbihi wanatumia Waislam katika Ibada zao hasa ya Kuyataja na kuyatukuza majina matakatifu ya Allah (s.w)

Nadhani izo ndo tofauti kuu.
 
Naona zote ni sawa. mwenye kujua tofauti zake anijulishe.
uchawi wa kirumi, uchawi wa kiarabu na uchawi wa kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana

unafaa kukatwa kichwa tena mbele ya hadharaa..alshaabab nadhan post yako wameiona..
 
Last edited by a moderator:
Zina tofauti.......
moja nyeusi.......moja nyeupe.....na nyingine ya pink.......usiniulize kwa nini........maana sijui.......
 
Ngojea niwakumbushie wakristo wenzangu huu ni mwezi wa maria wa kusali rozari, wito mkuu mwaka huu usalipo ni kuiombea amani nchi yetu na uchaguzi ujao

Mkuu Hakuna Amani Kama Haki Hamna Kwenye Nchi. Tuache Kuomba Kwa Mazoea Turudi Kwenye Msingi wa Neno la Mungu. Haki Uzaa Amani. Tena Nawaomba Viongozi wa Dini warudi Kwa Mungu Kwa Toba.

Wameacha Kusema ukweli wanasema Yale yanayo wapendeza viongozi hawasimami Kwenye ukweli. leo unaita matamasha na makongamano ya kuombea taifa Amani? Alafu unawaalika viongozi wa serikali ili kuwafuraisha wao na sio Mungu. Maana hawa hawa waondio wavunjaji wa haki.

Sikatai viongozi wa serikali wasiitwe lahasha, lakini waje na Muwambie ukweli kwamba Amani ni Zao la Haki. Watende haki Amani aiombwi jamani, sulemani anasema kwenye kitabu cha Mithali, Haki uinua Taifa, tuombee Taifa Haki jamani.
 
Naona zote ni sawa. mwenye kujua tofauti zake anijulishe.
uchawi wa kirumi, uchawi wa kiarabu na uchawi wa kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana

Umeshafikia "conclusion" kuwa ni "uchawi wa kirumi, uchawi wa kiarabu na uchawi wa kiafrika" sasa unataka kujuwa nini zaidi na wewe ni mjuvi?
 
Iriz= k2 kinachovaliwa au kupachkwa ndan au mwilin kwa iman kua n kinga kwa adui za muusika
Tasbih=n neno la kiarab likimaanisha TAKASA rozali wakristo mnisaidie kumalzia
 
tasbihi ni kama kikokotozi kwa kuhofu utakosea kuhesabu kwa mfano kuna neno au jina flani la Allah unataka ulitaje Mara 100 ndo hutumia tasbih..other wise kutumia Alama za mikono ni bora zaid ambapo waisilam wengi siku izi hawatumii tasbih...kwa kumaliza tasbih naweza fananisha kama vile MTU kula kwa kijiko badala kutumia mkono...huko kwa rozali na irizi hakunihusu
 
Tofauti ni hizi
Rosari huvaliwa shingoni na huonekana kwa kila mtu,hirizi huvaliwa popote kwenye mwili na haionekani kwa watu.
Rosari ina msalaba na ina vidude vya mviringo ambapo mtu anaposali huvishika kimoja kimoja huku akisali.Hirizi ina kamba tu,na haitumiki ktk kusali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom