Nini tofauti ya hawa?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,980
13,633
Ndg wanaJF, nini tofauti kati ya kichaa, mwendawazimu,chizi na punguani? Nini kinachowatofautisha? Kwa nini m1 aitwe kichaa na mwingine aitwe mwendawazimu japokuwa matendo yao yanafanana? Kichaa yukoje? Mwendwazimu nae yukoje? Chizi je? Punguani yuko vipi? Nipeni tofauti ya hawa watu. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom