cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
- Thread starter
- #21
SEO ni "taaluma" na watu tunalipwa kupitia hiyo kazi. Hapa hakuna uchawi wala nini but it's all about choosing the correct Keywords unapoandika chochote kwenye blog yako. Chukua mfano wa kifungu hiki cha maneno:
"Tanzania, like many other African countries, young men and women prefer American style music as compared to local music. There are lot of musicians in Tanzania such as Diamond Platnumz, Ali Kiba, AY, Fid Q, Mwasiti, Lady Jay Dee and others."
Huo ni mfano wa paragraph ambayo inaweza kuwa ni sehemu ya habari ambayo umeandika kwenye blog yako.Sasa assume kuna mtu anataka kufahamu the best hip hop artist in Tanzania! Hata hivyo, hakuna details zozote anazofahamu zaidi tu ya kwamba anafahamu kuna nchi inaitwa Tanzania na shida yake ni kufahamu best hip hop artist. At the same time, assume kuna mtu mwingine, sawa na huyo wa kwanza, nae hana details anazofahamu lakini shida yake ni kujua mwanamuziki maarufu kuliko wote Tanzania! The question is, kama habari iliyopo kwenye blog yako imeandikwa kwa staili hiyo hapo, unadhani hao watu wanaotafuta best hipo artist na mwanamuziki maarufu watatumia keyword gani ili waweze kupata watakacho ambacho, kimsingi watakipata kwenye blog yako?
Kwa kifupi, hakuna key word itakayowawezesha kupata taarifa kupitia blog yako coz' mwandishi wa habari anaonekana moja kwa moja sio mtaalamu wa SEO.
Kwa upande mwingine, let's write the same paragraph:
"Tanzania, like many other African countries, young men and women prefer American style music as compared to local music. The most popular artist in Tanzania currently is Diamond Platnumz who performs Bongo Flavor. Apart from Diamond, there's Fid Q who's one of the most popular hip hop artist in Tanzania.
Though this type of music grows day after day, but there're very few women in the game. The most known female artists in the country are Lady Jay Dee and Mwasiti"
Hivyo basi, kimsingi paragraph ile ya awali na hiyo hapo juu inaeleza kitu kile kile tofauti ni kwamba wakati paragraph ya awali haina Keywords hii ya pili ina keywords. Hivyo basi, yule mtu wetu wa kwanza ambae hafahamu lolote kuhusu Tanzania lakini shida yake ni kufahamu best hip hop artist, aki-google neno "Best Hip Hop Artist in Tanzania" lazima blog yako yenye taarifa hiyo hapo juu (ya pili) itatokea kwenye search result lakini haiwezi kutokea ikiwa taarifa yenyewe ni ile ya kwanza! Aidha, yule mwenye shida ya kumfahamu mwanamuziki maarufu atakachofanya ni ku-Google neno "Most Popular Artist in Tanzania" or "Popular artist in Tanzania" Kwavile hizi keywords zipo kwenye habari yako basi lazima itatokea kwenye search result.
Hivyo basi, ikiwa blog yako ina mambo ya maana ambayo watu huwa kila siku wanayatafuta na habari zako zina necessary keywords, basi kila watu wanapo-search keywords, obvious blog yako itatokea kwenye search result kutegemeana na habari husika! The frequency with which your blog appears in search result, ndiyo itakayo-determine position yake. Kama inatokea mara kwa mara, itasogea from back pages ( page 2,3,....) to front page! Sio hivyo, itakuwa ina-movie kutoka chini kabisa ya first page to the top depending na sababu ile ile!
So, hayo mambo mengine yote kama kutumia software na takataka zingine wala hayatakusaidia vinginevyo watu wasingeingia mifukoni kila siku kuwalipa SEO (Search Engine Optimization) Experts. In short, kama unaandika article kuhusu vyuo vikuu Tanzania, usiishie tu kuandika "University of Dar es salaam is the oldest university in Tanzania" bali malizia kabisa "University of Dar es salaam is the oldest university in Tanzania and ranked as the best university in East Africa...!" You never know, may be someone outta there is struggling to find the best university in East Africa! Huyu atakuwa anatumia similar keyword "Best University in East Africa....!"
RULE OF THUMB: Kadri unpokuwa na posts nyingi zaidi kwenye blog yako ndivyo tunatarajia kuwa na searchable keywords nyingi zaidi.
Also, ni muhimu sana kuwa na habari za sekta tofauti tofauti ili uweze kunasa watu wenye mahitaji mbalimbali ya habari!
REMEMBER... SEO si tu kwamba inasaidia kuipaisha blog yako kwenye search result bali pia ni source ya traffic.
Asante sana mkuu chige..... hapo kwenye kuandika nimekusoma sana mim kwa uelewa wangu nilikuwa nikifikiri kwamba title post na zile link ndio inafanya kazi kubwa sana kwenye SEO lakin nilikuwa sijui kumbe hata content inafanya kazi,,, Sasa kingine nachouliza hawa, SEO expert what are they doing,if the better results of SEO comes from the way your article is, and have all keywords,,,,,' ni kip kipya wanacho fanya hasa kwa sababau hawapost ila wanachofanya ni kwa mim nachojua kufanya submision ya site kwenye search engine na costomization ya title post tag kwa kuweka zile H2 kuna kingine kipya hapo kweli?
cc deejaywillz na chige