Future neural surgeon Member Apr 29, 2020 41 23 Jul 6, 2020 #1 Nimejaribu kuingia website ya NACTE kwenye upande wa Student Information Verification System. Mara ya kwanza registration status ilisoma Postponed saiv imesoma Terminated, nijuzeni tofauti ya haya maneno.
Nimejaribu kuingia website ya NACTE kwenye upande wa Student Information Verification System. Mara ya kwanza registration status ilisoma Postponed saiv imesoma Terminated, nijuzeni tofauti ya haya maneno.
Good Mood Member Sep 12, 2018 58 118 Jul 6, 2020 #2 Postponed inamaanisha imesogezwa mbele yaan kama mwaka ujao wa masomo na iyo Terminated umeondolewa Kwa ushauri tembelea nacte kwa msaada zaid
Postponed inamaanisha imesogezwa mbele yaan kama mwaka ujao wa masomo na iyo Terminated umeondolewa Kwa ushauri tembelea nacte kwa msaada zaid
Future neural surgeon Member Apr 29, 2020 41 23 Jul 7, 2020 Thread starter #3 Good Mood said: Postponed inamaanisha imesogezwa mbele yaan kama mwaka ujao wa masomo na iyo Terminated umeondolewa Kwa ushauri tembelea nacte kwa msaada zaid Click to expand... Nashukuru sana kiongozi.. Nimekupata vyema
Good Mood said: Postponed inamaanisha imesogezwa mbele yaan kama mwaka ujao wa masomo na iyo Terminated umeondolewa Kwa ushauri tembelea nacte kwa msaada zaid Click to expand... Nashukuru sana kiongozi.. Nimekupata vyema