Nini tofauti kati ya C band na KU band?

GANJA ROLLER

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
709
272
Sometime kuuliza ni kutaka kujua zaidi,,mi jamani sijui tofauti kati ya C band na KU band kama vipi naomba mnijuze na pia endapo nitatumia Lnb za KU band kipi nitapata chanel zipi na C band kadhalika.

PEACE.
 
Mkuu ntaeleza kiphysics kdg...

Neno band lenyewe kwa maelezo rahisi kabisa ni range/section flani ya frequencies kwenye radio frequency spectrum, yaani kwa lugha nyingine radio frequency spectrum inaanzia frequency ya <3Hz kwenda hadi TeraHz, sasa band ni kama groups mfano kutokea 3Hz hadi 3KHz ni group moja hii ni band inaitwa TLF...

Sasa kwenye system za satellite walikua mwanzoni wanatumia C band range tokea 3.4Ghz hadi 7GHz, sema channels zinavokua nyingi na communication systems pia zinaongezeka na devices nyingine ambazo zinatumia range hii ya frequency ikafika muda frequency moja badala ya kutumika na source moja ikawa inaanza kuingiliana na source nyingine zinazotumia hiyohiyo frequency, kwa kifupi band hii ya C band ikajaa, ndo maana wakaleta Ku band.
C band inahitaji dish kubwa, afu yaweza pata interferance kama una source zinazotumia hii frequency, sema uzuri wake kewnye mvua zinapiga mzigo vizuri tu.

Hii KuBand yenyewe inarange kwenye 11Ghz kwenda hadi 14.5GHz ni specific kwa satellite communications peke yake, kwa hiyo hamna devices nyingine ambazo zinatumia hii frequency range, uzuri wa hii haina interference yoyote afu yaweza tumika kwa internet communications pia, dish lake ni dogo, tatizo lake unaweza pata shida kidogo wakati wa mvua.

Kuhusu channel zipi zinapatikana band ipi hiyo ngoja waje wanaocheza na lyngsat mara nyingi watoe maelezo, au unaweza mwenyewe ingia lyngsat.com ukaangalia hua wamelist channels zote pale pamoja na information zote..
 
Sometime kuuliza ni kutaka kujua zaidi,,mi jamani sijui tofauti kati ya C band na KU band kama vipi naomba mnijuze na pia endapo nitatumia Lnb za KU band kipi nitapata chanel zipi na C band kadhalika.

PEACE.

Mm ntakujibu hilo la ntapata channel zipi? Kupata channel itategemea na satellite utakayokua umetegeshea Na itategemea kama hiyo satellite ina FTA channel.

Mfano hauwezi winda satellite ya Eutelsat 36A ukitegemea kuona channel ya maana bila ya kulipia.

Most popular FTA satellite ni Astra 2f @28E wanatumia KU Band

http://www.lyngsat.com/Astra-2F.html tv3,joysports etcs soccer zinaonesha

Pia kuna Arabsat kwa wapenzi wa soccer inaitaji Cband ch
http://www.flysat.com/arabsat5c.php irib tv3 na varzesh soccer lipo

Kuna Intelsat 906 kuna local channel na inaitaji Cband
http://www.lyngsat.com/Intelsat-906.html

Amos 5 unaitaji Ku band ina some FTA channel japo nyingi inaweza kuwa encrypted any time
unawakuta Ting na Continental

total channel utazipata ukitembelea hizo link au ku google hizo sat

By the way kwa sasa people should think of DVB-S2/T2 Receiver
Yaani unakua upande wa Satellite TV at the same time terrestial TV

DVB-S2/T2 tuner is now a must

Juzi nilikua na chat na Qsat Factory skype nkawambia kwa sasa Soko la Africa la TV liko category mbili both Terrestrial TV na Satellite TV e.g kwa hapa TZ ni Continental,Digitek,Startimes,Easy tv etc
Na hawa lazima wa obey sheria za TCRA kuachia Local channel kuwa FTA japo tamaa ya fedha wanaweza wasifate

Faida ya Terrestrial TV ni kwamba ni cheap na easly accessible kwa watu bila ku invest alot of cost kama kulipia fundi dish,Dish, LNB,Nyaya etc
All you need is terrestrial antenna as cheap as 25,000/=

Its funny mtu kanunua Dish la 120,000/= afu anapata channel almost na za yule alolipia 25,000/= kwa Terrestrial antenna

Nilijaribu kuwa convince hawa jamaa waendelee kutengeneza kingamuzi chao cha Speed HD S2 lakini wakasema they can make a new and cheap Qsat receiver probably to go by a Name of QSAT Q28G DVB-S2 and DVB-T2

Hivo mleta mada try also to deploy both technologies as I know kuna STB ni S2 na T2

E.g DM800se v2 ina DVB-S2/T2/C tuner
i.e Satellite,Terrestrial and Cable TV
 
Mm ntakujibu hilo la ntapata channel zipi? Kupata channel itategemea na satellite utakayokua umetegeshea Na itategemea kama hiyo satellite ina FTA channel.

Mfano hauwezi winda satellite ya Eutelsat 36A ukitegemea kuona channel ya maana bila ya kulipia.

Most popular FTA satellite ni Astra 2f @28E wanatumia KU Band

Astra 2F at 28.2°E - LyngSat tv3,joysports etcs soccer zinaonesha

Pia kuna Arabsat kwa wapenzi wa soccer inaitaji Cband ch
FlySat Arabsat-5C @ 20° East irib tv3 na varzesh soccer lipo

Kuna Intelsat 906 kuna local channel na inaitaji Cband
Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat

Amos 5 unaitaji Ku band ina some FTA channel japo nyingi inaweza kuwa encrypted any time
unawakuta Ting na Continental

total channel utazipata ukitembelea hizo link au ku google hizo sat

By the way kwa sasa people should think of DVB-S2/T2 Receiver
Yaani unakua upande wa Satellite TV at the same time terrestial TV

DVB-S2/T2 tuner is now a must

Juzi nilikua na chat na Qsat Factory skype nkawambia kwa sasa Soko la Africa la TV liko category mbili both Terrestrial TV na Satellite TV e.g kwa hapa TZ ni Continental,Digitek,Startimes,Easy tv etc
Na hawa lazima wa obey sheria za TCRA kuachia Local channel kuwa FTA japo tamaa ya fedha wanaweza wasifate

Faida ya Terrestrial TV ni kwamba ni cheap na easly accessible kwa watu bila ku invest alot of cost kama kulipia fundi dish,Dish, LNB,Nyaya etc
All you need is terrestrial antenna as cheap as 25,000/=

Its funny mtu kanunua Dish la 120,000/= afu anapata channel almost na za yule alolipia 25,000/= kwa Terrestrial antenna

Nilijaribu kuwa convince hawa jamaa waendelee kutengeneza kingamuzi chao cha Speed HD S2 lakini wakasema they can make a new and cheap Qsat receiver probably to go by a Name of QSAT Q28G DVB-S2 and DVB-T2

Hivo mleta mada try also to deploy both technologies as I know kuna STB ni S2 na T2

E.g DM800se v2 ina DVB-S2/T2/C tuner
i.e Satellite,Terrestrial and Cable TV
 
mkuu dish la KU band linaanzia futi ngapi?Mfano ukiwa na dish la KU band kwa hapa tz unapata channel ngapi?
 
Zuku,Azam,Dstv ni Madishi yanayoutumia Low noise blocker za KU band, Dishi la C band ni yale makubwa ya zamani
 
Nimeambiwa madishi ya zuku startimes au continental hayafai kwa receiver za fta jee ni kweli?
 
WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA NITUMIE DISH LA DSTV (DISHI DOGO "SIZE") KUWEZA KUPATA MPIRA UEFA, EPL.... NK
 
Back
Top Bottom