Luqnation Tz
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 125
- 56
Ametoa nyimbo na Chris Brown inaitwa "Nimepoteza uelekeo kimuziki"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweni alivyokimbiaga bastola alisharudi?si niliona mpaka anapigwa tochi na trafiki lakini akalala na 120 speed kwenye konaWakuu kwema?
Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya.
Amepotelea wap wakuu.
Anayejua ukimya wake atupe ubuyu kiaina basi.
Yuko kwenye kipindi cha Nirvana kesho naona alikua anatindwa nyusi na kupakwa make up. Niliona tangazo
Kesho atakuwepo EATV Nirvana Kwenye Fashooni.anatindwa nyusi saloon.