NINI SULUHISHO LA U.T.I

babkaju3

babkaju3

Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
91
Points
125
babkaju3

babkaju3

Member
Joined Mar 9, 2015
91 125
Habari wana jamii doctors naomba msaada kuweza kufahamu nn suluhisho la huu ugonjwa wa U.T.I kwa dada zetu umekuwa ni ugonjwa ambao uwahishi kila wapimapo au wana kosea wapi maana dawa kama dawa wame shakunywa sana sindano wamesha choma sana lkn kila baada ya miez sita mwaka ana kuwa nao SHIDA IKO WAPI asanteni sana
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,236
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,236 2,000
Mtu anatibu UTI lakini hatibu chanzo cha hio UTI

Kwa uchache
Jifute mbele kwenda nyuma ili uchafu wa njia ya haja kubwa usije mbele kwenye uke na njia ya mkojo

Fanya mapenzi kistaarabu
Mapenzi kinyume na maumbile then unachanganya kawaida..UTI haitoisha kwako

Kutumia vyoo bila kuflash ama vyoo vichafu ama maji usiyoyajua..

Unajisaidia hujikaushi ngozi....
Tumia tissue ubaki mkavu

Sijaugua UTI miaka mingi sana
 

Forum statistics

Threads 1,303,525
Members 500,948
Posts 31,484,609
Top