Model gan hiyo mkuu?Simu inaonyesha mistari ya ajabu ajabu inayobadilika badilika, ni techno!
Je nini suluhisho lake wadau
View attachment 388826View attachment 388829View attachment 388833
Mpelekee mwalimu wa physics kwa ajili ya kufundishia ile topic ya prismSimu inaonyesha mistari ya ajabu ajabu inayobadilika badilika, ni techno!
Je nini suluhisho lake wadau
View attachment 388826View attachment 388829View attachment 388833
Boom j8 mkuu...Model gan hiyo mkuu?
Inagoma kabisa, yaani hata ukireboot inaendelea kubaki hivyo mkuu!Reboot...
Au Zima halafu iwashe..
Hahaaa, sasa mkuu hapo tatizo litakuwa limeisha?Mpelekee mwalimu wa physics kwa ajili ya kufundishia ile topic ya prism
Maskini!! Kwa hii ndio kanadeedi hivo! Btw techno naona techno ni miongoni mwa simu za hovyo hovyo tu!!Pale tecno katika ubora wake.
Mkuu kama sijakosea hii ni dalili kwamba kioo kinaandika wosia.muda au saa yoyote kinakufa.
Tecno simu za hovyo hovyo sawa lakini wengine zinatusaidia.Maskini!! Kwa hii ndio kanadeedi hivo! Btw techno naona techno ni miongoni mwa simu za hovyo hovyo tu!!
Ni kweli mkuu zinasaidia sana!Tecno simu za hovyo hovyo sawa lakini wengine zinatusaidia.
Hilo tatizo nahisi itakuwa display ina Danji.
Ukiizima na kuwasha inawaka vzr then ndo inakua hivyo? Or ukiirestart bado mchezo ule ule?Boom j8 mkuu...
Ukiirestart inaendelea hivyo hivyo, halafu inakuwa ngumu kujua kama imezima kweli au lah! Maana ukibonyeza power botton screen inadisplay kama pic inavyoonesha! So ukiihold power botton kwa mda screen inaonyesha imejizima lakini ukibonyeza kitufe cha kupunguza au kuongeza sauti inadisplay hiyo mistar!Ukiizima na kuwasha inawaka vzr then ndo inakua hivyo? Or ukiirestart bado mchezo ule ule?
Nimefanya hivyo lakini hollaah, mkuu!iwashe kwa njia ya batan ya kuzima na kupunguza saut afu uirestore.... reset itakaa poa
Duuh..Huo ndi wosia
sasa hilo tatizo ni vitu viwiliNimefanya hivyo lakini hollaah, mkuu!