Nini siri ya wadada wengi kutoboa pua na kuvaa vipini?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Labda macho yangu yanaweza kuwa na matatizo kwa hiki ninachokiona mitaani siku hizi.

Nahisi kuna asilimia kubwa sana ya dada zetu wapendwa kutoboa pua na kuvaa vipini sijui kuna siri gani au ni urembo kama urembo mwingine.

Zamani dada zetu walikua wachache sana waliotoga pua, tena baadhi ya maeneo haswa pwani kwa Tanzania. Ila siku hizi hata huku kijijini kwangu Bonyokwaa ninapoishi napishana na wadada wakiwa wametoga pua.

Eti dada zangu kuna siri gani na vipini vya pua?
 
Acha kila mtu afanye analojisikia, it's a free world you know, as long as havunji sheria yoyote basi. Ila nnavoogopa sindano sitakuja kutoboa sehemu yoyote ya mwili kwa makusudi. Nikiona wanavotoboa hizo pua uwii sielewi kwanini wanaendelea kutoboa ni maumivu.
 
Kwani mwanamke akitobia pua Kwa ajili ya urembo wake Kuna tatizo gani??!..shida yenu nyie wasukuma mnataka mwanamke awe kama njemba..aisee mimi nikiona mrembo kaweka kipini kwenye pua huwa napata shida sana
 
Kwa wale wenyeji wa pwani kutoboa pua ni Jambo la kawaida Yani si Jambo la juzi ni Jambo lililoanza kabla hii nchi haijapata uhuru na inawezekana kabisa kabla hata huyo rais wa kwanza wa Tanganyika huru kuzaliwa, wanawake kipindi kile wakitoboa pua kitobo kimoja, sema sikuhizi hata ambao si wenyeji wa pwani wanatoboa pua ndiyo maana imekuwa stori Sana na Sasa hivi wengi wa watoboa pua ni maslay queen...ila ni tabia ya muda mrefu Sana hasa coastal areas.
 
akivaa kipini puani, huyo ni mdau wa diwali aka mtungo, MFM MMFM zote anahimili

akikupa 'game' vaa ndom 2 au zaidi, utanishukuru baadaye

akivaa kikuku, uyo 'lines' zote ziko na RSSI ya kutosha, chagua lako, mbele au nyuma au 'miksa'
 
Mkumbo tu na wengi wana miguu kama ya ng'ombe hawajui tu kama hawapendezi
 
Back
Top Bottom