Ipi siri ya wadada kupenda kunywa Hanson Choice badala ya Konyagi na Valuu?

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Nimeshangaa sana hii hali

Una kuta mdada sister duu, nywele bandia, kucha bandika makeup ya kutosha yupo bar anakunywa hanson choice

Wadada wengi siku hizi ukiwakuta bar wenyewe basi wapo na mzinga wa hiyo pombe kali na si zile savanna na desperado na Windhoek wanazopenda kunywa wakiwa na masela.

Kwa nini mnakimbia kunywa valuu na konyagi na kuipenda hanson choice kuna siri gani hapa wadada??
 
Screenshot_20230802_121259_com.opera.mini.native.jpg
 
Back
Top Bottom