mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 606
- 663
Kama sio wote wanaotaka kuolewaHao unaokutana nao kwenye hizo platform wote wanataka kuolewa?
Wazalishaji wakubwa wa masingle mother ni wanaume na tukizalisha tunawaacha, kwanini tusipunguze uzalishaji huu kwa kudhibiti tamaa zetu za kimwili.
Mwanaume hajisifii kupachika mimba na kutelekeza mtoto na mama. Zaa kwa makubaliano na mwenza wako sio kwa bahati mbaya. Hizi mimba za bahati mbaya ndiyo chanzo cha usingle mama.Kama sio wote wanaotaka kuolewa
Tukiwabebesha Mimba Kuna Shida gani ??
I'm on that good kush and alcohol
Hata wenyewe wanakua na tamaa,hatufanyagi makusudi ila wananogewaga wanajisahauHao unaokutana nao kwenye hizo platform wote wanataka kuolewa?
Wazalishaji wakubwa wa masingle mother ni wanaume na tukizalisha tunawaacha, kwanini tusipunguze uzalishaji huu kwa kudhibiti tamaa zetu za kimwili.
Wanataka wenyeweHao unaokutana nao kwenye hizo platform wote wanataka kuolewa?
Wazalishaji wakubwa wa masingle mother ni wanaume na tukizalisha tunawaacha, kwanini tusipunguze uzalishaji huu kwa kudhibiti tamaa zetu za kimwili.
Sasa tunapaswa kuwaongoza tusifurahie kuwatanua miguu ila tuwaongoze ili wasije kutuona tumewaharibia maisha yao.Hata wenyewe wanakua na tamaa,hatufanyagi makusudi ila wananogewaga wanajisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kutaka wenyewe hata sisi tunahusika kwa kiasi kikubwa sana. Ukiona huna malengo ya kuzaa na mwanamke kwanini usitumie njia za kuzuia mimba mapema.Wanataka wenyewe
Hivi unajua ishu ya U-single Mom ni pana, Sio kila single mom alitelekezwa/alikimbiwa na MwanaumeMwanaume hajisifii kupachika mimba na kutelekeza mtoto na mama. Zaa kwa makubaliano na mwenza wako sio kwa bahati mbaya. Hizi mimba za bahati mbaya ndiyo chanzo cha usingle mama.
Nimestick hapa kwenye mimba zisizo na mpango au makubaliano. Hapa tunaweza kusaidiana kuondoa japo kidogo hili tatizo. Tuachane na hao watalakiwa.Hivi unajua ishu ya U-single Mom ni pana, Sio kila single mom alitelekezwa/alikimbiwa na Mwanaume
*Wapo wanaomtegeshea Mwanaume mimba ili amuoe
*Wapo waliokua katika ndoa wakaachika wakiwa na watoto
*Na wapo waliotaka tuu kuwa na Mtoto as umri umeenda na anahitaji mtoto
Hata usitupe Sisi Lawama peke etu Mkuu hizo Scenarios zote zpo mtaani
I'm on that good kush and alcohol
Sawa Mkuu NimekuelewaNimestick hapa kwenye mimba zisizo na mpango au makubaliano. Hapa tunaweza kusaidiana kuondoa japo kidogo hili tatizo. Tuachane na hao watalakiwa.
Ningependa sisi wanaume tusimwage mbegu kwenye mabonde ambayo tunajua hatuwezi kulima endapo mbegu zitaota.Sawa Mkuu Nimekuelewa
Katika kipengele unachozungumzia Wewe,
Una Suggest nini kifanyike ?
I'm on that good kush and alcohol
Ningependa sisi wanaume tusimwage mbegu kwenye mabonde ambayo tunajua hatuwezi kulima endapo mbegu zitaota.