Ebana miguu ina nafasi yake kwenye uzuri wa mwanamke coz anaonekana bomba,Binafsi napenda miguu ya bia but iwe mirefu kidogo sio mifupi pia isiwe na makovukovu iwe lain kama maini vile.
Kongosho je wafikiri safari za nissan duet na benz ni sawa? benzi ni gari ya safari ina resistance kubwa barabarani pia ina spidi kubwa istoshe the modern benz zina electronic compilications ukilinganisha na nissan duet ambayo ni gari kwa safari lakini haiwez kuimili safari ndefu mara nyingi. kwa mtazamo wangu tu nA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.mmmh, kwani lips, macho, makalio si ni viungo kama ilivyo miguu???
Kwa nini mtu anapenda benzi zaidi kuliko nissani duet? Si zote zinakufikisha uendako?
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment.
Jamani siifahamu siri ya kupenda miguu, wenyewe wanaita chupa ya bia. Hebu tujuzeni ni faraja gani au ina mvuto gani?
Haya vidume vya JF nasubiri busara zenu
Simpooo...! Kila mtu anasehem yake ya kumsisimua.
ndo maana kuna wengine wala hawapendi makalio makuubwa, ila wengine ndo udhaifu wao.
Wengine hawapendi wanene ila wengine duuu hata nyumba watahonga. ni sourcetu ya stim za mtu.
usichangnyikiwe sana hivo ulivyo kuna watu wanapenda sana wa style yako.
Kongosho je wafikiri safari za nissan duet na benz ni sawa? benzi ni gari ya safari ina resistance kubwa barabarani pia ina spidi kubwa istoshe the modern benz zina electronic compilications ukilinganisha na nissan duet ambayo ni gari kwa safari lakini haiwez kuimili safari ndefu mara nyingi. kwa mtazamo wangu tu nA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.
viungo vya binadam popote pale kilipo kina mvuto na kazi yake.na kama ilivyo ada mvuto wa kitu siku zote ni shape yake yaani hata yai kama shape yake haijakaa sijui ki elliptical haliwez kuvutia bana ama kama nyanya ama embe lisipokaa kwenye umbo lake haliwez kuvutia.
naamini wewe ni mwendaji sana wa sokoni na waweza kuwa na tabia kama yangu kwamba miye huwa nanunua vile vitu ambavyo vina shape ya kuchora kama ni ndizi mpaka ikae kama zile zinazochorwa kwenye picha ndio nanunua. hii ni kwasababu vinavutia sana so hata mwanamke kiungo chochote alicho nacho kina mvuto wake sasa kinakua na added advantage kikiwa na shape kama ya kuchora. sijui umenielewa hapa.
Seriously mwanaume mwenye miguu mizuri its a bonus kwenye 6x6. I love nice and clean legs. Afu awe kavaa kaptula na sandals! Awe intelligent, mnaweza ku-argue, mweeh!