Nini siri ya miguu....?

Nini siri ya miguu....?

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,859
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment.

Jamani siifahamu siri ya kupenda miguu, wenyewe wanaita chupa ya bia. Hebu tujuzeni ni faraja gani au ina mvuto gani?
Haya vidume vya JF nasubiri busara zenu
 
Simpooo...! Kila mtu anasehem yake ya kumsisimua.
ndo maana kuna wengine wala hawapendi makalio makuubwa, ila wengine ndo udhaifu wao.
Wengine hawapendi wanene ila wengine duuu hata nyumba watahonga. ni sourcetu ya stim za mtu.
usichangnyikiwe sana hivo ulivyo kuna watu wanapenda sana wa style yako.
 
Duh kali hiyo hujaeleza ww unapenda nn kwa mwanamke?
 
DAda Mtoa mada MadameX, una Mguu nini? maana si bure na hili swali lako
 
mmmh, kwani lips, macho, makalio si ni viungo kama ilivyo miguu???

Kwa nini mtu anapenda benzi zaidi kuliko nissani duet? Si zote zinakufikisha uendako?
 
jamani movement za mtoto wa kike lazima network ieleweke, mtoto atembelee spoke za baiskeli ndoo nini hiyo. Mguu ukivishwa na kikuku weeeeeeeeeeee unahamasisha sana mhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
ebwana wee hamna kitu kivuri kama mwanamke mwenye mguu mzuri alafu mie ndio ugonjwa wangu. mie mwanamke nikiona anavaaga suluali najua huyu hana migu mizuri.

anyways uzuri wa mguu wa bia ni
1) una mfanya mwanamke avae skirt becoz anataka kuuonyesha. this is gud becoz deep down it portray her feminine side which we men like.
2) makes high heels looks even more sexier than ambaye hana mguu mzuri
3) katika game la six by six part of foreplay ni kupapasana na kulambana na sie wanaume twapenda shika nyamna nyama during that phase of 6 *6. this also expalins y twapenda nono iliyojaa
 
Dada umenigusa, yaan mimi miguu ndo ugonjwa wangu mkubwa na hasa akiwa na kaurefu ka kizush, miguu inamfanya msichana apendeze akivaa yaan hata mmiliki unamtaman kila saa, mi wife akivaa surual si namuonaje napenda avae nguo zenu zile za harusin miguu ipo kwenye high hills hadi raha yaan, wale wa jinsi tyt kuficha miguu kwangu no japokuwa sometime namega kwa bahat mbaya
 
Simpooo...! Kila mtu anasehem yake ya kumsisimua.
ndo maana kuna wengine wala hawapendi makalio makuubwa, ila wengine ndo udhaifu wao.
Wengine hawapendi wanene ila wengine duuu hata nyumba watahonga. ni sourcetu ya stim za mtu.
usichangnyikiwe sana hivo ulivyo kuna watu wanapenda sana wa style yako.

Hapo umenena kweli... Mimi binafsi sijui ni nini kinanifanyaga nipende miguu bt kitu cha kwanza naangalia kwa mwanamke ni miguu, mwanamke mwenye miguu kama njiti samahani..NOT REACHABLE...hasa ukute mguu umetulia alafu ni mweupe...mh nyie..that turns me on alot..ukiniuliza ni kwanini i really dont know...
 
...sasa Madamex, demu akiwa na miguu mizuri anapendeza nje na ndani! Na mwanamume daima hupenda demu anayependeza...sasa akipendeza kotekote inakuwa ni PLUS...ofcourse na vitu vingine pia..macho, pua, masikio, meno nk
 
Ebana miguu ina nafasi yake kwenye uzuri wa mwanamke coz anaonekana bomba,Binafsi napenda miguu ya bia but iwe mirefu kidogo sio mifupi pia isiwe na makovukovu iwe lain kama maini vile.
 
Ebana miguu ina nafasi yake kwenye uzuri wa mwanamke coz anaonekana bomba,Binafsi napenda miguu ya bia but iwe mirefu kidogo sio mifupi pia isiwe na makovukovu iwe lain kama maini vile.

Sasa uzuri wake ni kwenye muonekano tu
 
Miguu nayo inaongeza mvuto kwa mwanamke ata akivaa nguo fupi kidogo ina mtoa!
 
Zamani ukiambiwa una mguu wa bia ilikuwa sifa kwa chupa za bia za wakati ule ila kwa chupa za bia za siku hizi ukiambiwa una mguu wa bia inabidi ulie sana
 
kimsingi napenda mguu wa bia kwani humpa shepu mwanamke, jambo la pili mwenye mpangilio wa meno, yani staili fulani hivi akitabasamu huchoki kumwangalia, halafu mambo fulani ya hips...mmmh, ngoja nikohoe kidogo....kiuno kimegawanyika fulani vile, rangi yeyote tu ila inayoniua kuliko zote ni chokolate............
 
Back
Top Bottom