Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,435
- 23,091
Nakupa ushauri wa bure mkuu.Mpinga Kristo au Shetani namba yake ni 666.Kwa namba ambazo wewe matukio yako muhimu yanatokea,yaani 9,6 na 3 ipo shida.Kumbuka kwamba in the Satanic world 9 na 6 ni sawa.Kumbuka pia kwamba 6 is a multiple of 3.Furthermore, remember also that satanic world uses numbers as signatures to signify their precence.nimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
Nini maana ya scenario hii.Inawezekana unatoka kwenye familia ya kishetani au kishirikina sana, kwa hiyo kwa kujua au kutokujua, umeingizwa katika ushetani maagano ya kishetani.Sasa kwa wewe matukio yako muhimu kutokea katika tarehe hizo tajwaa, inaweza kuwa na maana kwamba wewe ni wa Shetani na yuko kwenye kukuandaa ili umtumikie!God forbid.
Nini ufanye kama hutaki ushirika na Shetani?Muone Mchungaji anayeamini katika wokovu wa kweli, akuongoze sala ya toba uokoke.In that situation, Shetani hatakuwa na mamlaka tena kwako.Hali yako inaweza kuwa ngumu,kwa hiyo unaweza ukahitaji "internal healing" na "deliverance".Mchungaji utakayemuona Mungu atakuelekeza la kufanya,kama kweli ni mtumishi wa Mungu.Kila la heri.