Nini siri ya hizi namba?

Nini siri ya hizi namba?

Mkuu, kuna wakati 1 + 1 = 2, hakuna mtego wowote hapo mpaka uanze kufikiri complex numbers na madudu magumu.....

Mleta bandiko alitaka kukufahamisha tu kuwa ANAZO DIGRII 2 za kitaaluma na yuko mbiaoni kumaliza ya 3 mwakani.......

Alitegemea hongera na sifa kemkem.......

Na mi nimejaribu kuwaza tu

Mbona hayo mambo ya kawaida kuwa na degree hata mia haina maana yoyote katika jamii, ni kukusaidia tu kuwa bora katika kazi zako....

So mimi wala siliwazii kama wewe uliyeanza kunisaidia kufikiri.. Michakato ya kimaisha sometimes hukufanya kupitia njia ambayo haikuwa ndoto zako...
 
nimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
ivi hyo id MAGO maana yke nn ?
 
Hahahaa haya maisha hayana siri za kijinga hivyo.... ingekuwa siri basi ni kazi bure kutuuliza sisi maana hakuna ambaye angejua sababu ni siri..

Mambo mengine mnataka kuyakuza ..utakuta kitu kimeandikwa 666 mtu anashindwa kutumia wakati 6 ni namba kama namba nyingine..
 
Mshana Jr

Kwa Ukristo namba kamili ni 3, 7, 12, 24, na 365.
hizo namba ulizotaja 7, 12, na 5 zote zinagusa moja kwa moja matukio muhimu katika maisha yangu....mwezi wa kuzaliwa, mwezi wa kuoa, hiyo ya mwisho naiacha kwa sababu maalum
 
hizo namba ulizotaja 7, 12, na 5 zote zinagusa moja kwa moja matukio muhimu katika maisha yangu....mwezi wa kuzaliwa, mwezi wa kuoa, hiyo ya mwisho naiacha kwa sababu maalum
Ama kwa hakika hizi degree ni mzigo duh!
 
Naona mixer ya witiri na shufwa.... Japo shufwa ndio nyingi... Sometimes shufwa inachukuliwa kama namba bahati na witiri namba nuksi
Sijui ungefafanua zaidi,kwa mfano mimi tarh ,mwezi na mwaka zina 4,matukio mengi ya kumbukumbu huwa yana 4 sana
 
hizo namba ulizotaja 7, 12, na 5 zote zinagusa moja kwa moja matukio muhimu katika maisha yangu....mwezi wa kuzaliwa, mwezi wa kuoa, hiyo ya mwisho naiacha kwa sababu maalum
 
nimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
Sitegemei mtu aliyehitimu shahada ya tatu akawa na mawazo kama haya, labda kama walimu wake ni akina profesa maji marefu na sheikh yahaya hussein
 
Umeniacha kidogo mkuu ina maana naweza kuzitumia vipi katika maisha yangu ya kila siku?
Wewe MSOMI vipi tena!?
Unaishi kwa kutegemea namba na ubashiri!! Hakuna lolote hapo hizo ni namba tu. Hizo digirii zote ulizo nazo bado..unaishi kwa kuchungulia nyota!

Kweli Waafrika wengi yetu ngoma, haya mengine tuwaachie wenyewe.
 
369, 3+6+9= 18÷2=9 ÷3 =3 hizo ni namba za ukamilifu wa Kiroho na kidunia
Ukiroho upi Mshana, wa upande wa Lucifer au Mungu wa kweli,fafanua zaidi tafadhali.To me Mshana huyu bwana naona ana shida.He could be coming from a satanic family,au yeye mwenyewe ni satanic kwa hiyo Shetani yuko kwenye kumuandaa kuwa mtumishi wake.Kumbuka Mshana kwamba the number of the Antichrist(Satan) is 666 na in the demonic world,sita na tisa ni sawa.Also remember that six is a multiple of three.
 
Sitegemei mtu aliyehitimu shahada ya tatu akawa na mawazo kama haya, labda kama walimu wake ni akina profesa maji marefu na sheikh yahaya hussein
ahahahha ni kweli nyie ndo mkienda shule mnawakana mababu zenu
 
Wewe MSOMI vipi tena!?
Unaishi kwa kutegemea namba na ubashiri!! Hakuna lolote hapo hizo ni namba tu. Hizo digirii zote ulizo nazo bado..unaishi kwa kuchungulia nyota!

Kweli Waafrika wengi yetu ngoma, haya mengine tuwaachie wenyewe.
Nyota muhimu hujui kuna watu wanasomea na wana PhD za kutafsiri nyota za watu...
 
Ama kwa hakika hizi degree ni mzigo duh!
Ni mzigo haswa KWANI HUFAHAMU HILO NDUGU YANGU lazima network ziyumbe kidogo..

Halafu cha ajabu kadiri ninavyofikiri kuna mengi naona kama muujiza.. O-Level nilipata 1:16 cheki hiyo sita hapo, Advance PCB 1:09 cheki hiyo tisa hapo, first degree GPA 4:6 cheki hiyo sita hapo.
 
Back
Top Bottom