Nini siri ya hizi namba?

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,025
nimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
 
369, 3+6+9= 18÷2=9 ÷3 =3 hizo ni namba za ukamilifu wa Kiroho na kidunia
 
Pesa unazo?
Maana hizo ni tarehe za wanaotapanya mali tu...omba sana
 

Mbona kama ni hivi mtakuwa wengi sana. Mdogo wangu naye kazaliwa 86, shule ya msingi 99, form four 2003, six....labda hapo kwa phd ndo sijui kama hata anafikiria!
 
Lakini Mshana jr Kaka....mimi nimepata ufunuo mwingine kabisa wakati anaanza kujieleza...tazama nilivyomjibu...Huyo mtu ansonekana ni mtu wa kupata na kupoteza sanaaaaa
Kuna witiri mbili na shufwa moja!
 
369, 3+6+9= 18÷2=9 ÷3 =3 hizo ni namba za ukamilifu wa Kiroho na kidunia
Mkuu, kuna wakati 1 + 1 = 2, hakuna mtego wowote hapo mpaka uanze kufikiri complex numbers na madudu magumu.....

Mleta bandiko alitaka kukufahamisha tu kuwa ANAZO DIGRII 2 za kitaaluma na yuko mbiaoni kumaliza ya 3 mwakani.......

Alitegemea hongera na sifa kemkem.......

Na mi nimejaribu kuwaza tu
 
 
Naona mixer ya witiri na shufwa.... Japo shufwa ndio nyingi... Sometimes shufwa inachukuliwa kama namba bahati na witiri namba nuksi
Nimealikwa 23/04/1988
 
369, 3+6+9= 18÷2=9 ÷3 =3 hizo ni namba za ukamilifu wa Kiroho na kidunia
Umeniacha kidogo mkuu ina maana naweza kuzitumia vipi katika maisha yangu ya kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…