Mhmm mbona hauna roho mbayaRoho mbaya..
Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua.
Jichunguze pia!
Inasababishwa pia na watu waliokuzunguka binadam tunamambo mengi kule kujitenga nao kunaleta upwekeMiaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo
Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
Jaribu uone😂Mhmm mbona hauna roho mbaya
😅Jaribu uone😂
😘💕😍Roho mbaya..
Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua.
Jichunguze pia!