Nini sababu ya kuongezeka kwa nyumba ndogo?

Nini sababu ya kuongezeka kwa nyumba ndogo?

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Habari kwenu nyote!

Hata wanawake nao wana nyumba ndogo yaani namaanisha kule wanakotumika kimapenzi kinyume na wenzi wao wa ndoa.Wanaume kwao ni kitu cha kawaida siku hizi.Jambo hili linatia kichefuchefu kabisa.

Wadau nini chanzo cha nyumba ndogo ktk jamii zetu?Tukiweka wazi chanzo cha tatizo na suluhisho nina imani huenda baadhi ya watu ktk jamii wanaweza kubadilika kabisa.

Wadau karibuni.
 
Uvivu, Uchafu, Uongo, Wivu wa kijinga,Tamaa n.k n.k.....
 
Kumsahau Mungu....wengi utawasikia eti tit for tat..
 
Nadhani utakuwa ni mfuasi wa shetani ndiyo maana huoni tatizo![/QUOTE

Swali 1 tu ushaniona mfuasi wa shetani? Nasisitiza, Una hakika nyumba ndogo ni TATIZO kweli? na kama ni tatizo je ni kila mara? Hapa nafikiri kila mtu anaweza kuwa na mtizamo wake kutokana na mazingira yake. Ndio hasa msingi wa swali langu
 
Back
Top Bottom