Nini nifanye, nipo njia panda

Nini nifanye, nipo njia panda

Mi ni mwanachuo katika chuo kikuu cha stella maris mtwara,sa na mrembo wangu nyumbani huko Tabora,sasa mrembo huyu anaomba aje nisalimia huku,ukweli moyo unatamani lakini naogopa maisha ya kutegemea boom siku likicheleweshwa au kutotoka kabisa itakuaje huku ugenini.duh hatari
Uko chuo kwel mkuu?
 
anakuja kuhamia ama kukusalimia
 
Back
Top Bottom