Nini mwisho wa ubabe wa Marekani kiuchumi?

Umenena ujio wa Bwana Yesu Kristo ndo mwisho wa America. Asomae na afahamu unabii huo. America ya leo upande wa ARMY kibajeti wakiwapa China kuudumia jeshi lote la America mpk base zake duniani Kwa mwaka Moja tu China inatangaza kufilisika.

Je uliwahi kujiuliza ARMY SPENDING ya America kwa mwaka ni asilimia ngapi kwa majeshi yote duniani???? Tafuta data ujue.

Je, uliwahi kujiuliza America ina multi billionaire wangapi? Je, uliwahi kujiuliza America ina multi millionaire wangapi? Je uliwahi kujiuliza America ina most powerful ktk sector maelfu mangapi ktk dunia hii? Ukipata hizo zote ukichanganya na masuala ya technology, masuala ya anga za juu na anga za mbali jiulize pesa zote hizo wanapata wapi????

Ukishatafakari na kupata jibu geuza ubao huo kisha mkabidhi China kwa mwaka Moja tu aendeshe mambo yote hayo ya America, mpe China mwaka moja uone km ataweza.
Mkuu katka masuala hayo usiibize China.
China still iko vzuri na hata ukimpa afanye anaoyafanya US HATOFIRISIKA KATTU.
Kwasababu yeye ndiye wapili ktk uchumi mkubwa baada ya US na watafiti washaweka waz kuwa kwa kasi ya uchumi ya China miaka 15 au 20 baadae US atakua under China in economic aspects.
Ebu pigia mfano taifa labda km India hv na mengineyo ila sio kwa China mkuu.
China kiuchumi yuko vzuri naye ndiye anayetizamwa kumpiku USA.
 
Back
Top Bottom