Nini mwisho wa ubabe wa Marekani kiuchumi?

  • Thread starter profesawaaganojipya
  • Start date

profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

Senior Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
169
Points
250
Age
43
profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

Senior Member
Joined Apr 21, 2015
169 250
Wanajamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumizi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa Marekani utakuwa imara kama sasa?
 
R

RTI

Senior Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
190
Points
500
R

RTI

Senior Member
Joined Dec 20, 2018
190 500
Kuiuwa Dora ni kuusambaratisha uchumi wa dunia ili kuachana na Dora ni razima kwanza waubadilishe mfumo unaoendesha uchumi wa dunia jambo ambalo sio rahisi.
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,562
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,562 2,000
wana jamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi,mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumzi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa marekani bado utakuwa imara kama sasa?
Ubabe utapungua siku waarabu wakiishiwa mafuta, ile support ya kugharimia vita ataikosa. Ingawa USA bado anamafuta mengi lakini Russia naye anayo mengi pia.
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
1,523
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
1,523 2,000
Fuatilia historia ya Brettonwoods agreements utajua kwa nini Dunia ilifikia hapo penye kutumia USD. Mifumo mbali mbali ilikuwa imeanzishwa lakini haikufanikiwa isipokuwa huu wa sasa wa dola ya 'Muajemi'...
 
M

Msego

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Messages
248
Points
250
M

Msego

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2019
248 250

Mambo ya "the open door policy", alokutangulia kakutangulia tu kaka.
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,567
Points
2,000
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,567 2,000
The question to ask is: What next after the dollar. Is the world prepared to totally abandon the dollar? If so, what are the reasons.

I think there is no affirmative answers to those questions therefore the world with no alternative to dollar has literally no other option but to continue using the greenback.

Those countries which pretend to abolish the dollar are merely trying to do so as a means to overcoming their frustrations with the US and not out of economic rationale.
 
Vipi hawawezi kutumia "yuan" ya Uchina?
 
The seer

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
314
Points
500
The seer

The seer

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
314 500
Wanajamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumizi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa Marekani utakuwa imara kama sasa?
Kuondoa matumizi ya dola sio jambo rahisi kama vile kuondoa matumizi ya lugha ya kingereza duniani.itachukua mda sana
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,567
Points
2,000
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,567 2,000
Vipi hawawezi kutumia "yuan" ya Uchina?
Kwanza kabisa hiyo Yuan wanaipataje halafu hiyo biashara itakuwa baina ya China na hiyo nchi tu (Bilateral Trade) lkn wakitaka kwenda nje ya hapo lazima warudi kwenye dollar.
 
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
2,579
Points
2,000
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
2,579 2,000
Marekani haijaanza vita halisi ya kiuchumi na China, na mimi binafsi ninaona inawauzia wachina mbuzi kwenye gunia wazidi kuvimba kichwa!
Marekani inaweza kabisa kuifuta China duniani pale itakapoanza kulenga soko la Africa na dunia ya tatu kwa ujumla wake bila kujali faida kubwa na hapo ndio utaona jinsi China itakavyogeuka chui wa karatasi na pengine hata kuanza vitisho vya Korea ya kaskazini!
NB: KWA JINSI WACHINA WANAVYOTUFANYA WAJINGA NA KUTUJAZIA MADAMPO YETU NA BIDHAA ZAO JAKUBUMBA NAOMBA MUNGU MAREKANI IANZE VITA YAKE HALISI YA KIUCHUMI KUTUONDOLEA HUU MWIBA WA MABEBERU MA'ROBOT' YASIYO NA MOYO WALA MASIKIO YA CHINA!
 
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,807
Points
2,000
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,807 2,000
Marekani haijaanza vita halisi ya kiuchumi na China, na mimi binafsi ninaona inawauzia wachina mbuzi kwenye gunia wazidi kuvimba kichwa!
Marekani inaweza kabisa kuifuta China duniani pale itakapoanza kulenga soko la Africa na dunia ya tatu kwa ujumla wake bila kujali faida kubwa na hapo ndio utaona jinsi China itakavyogeuka chui wa karatasi na pengine hata kuanza vitisho vya Korea ya kaskazini!
NB: KWA JINSI WACHINA WANAVYOTUFANYA WAJINGA NA KUTUJAZIA MADAMPO YETU NA BIDHAA ZAO JAKUBUMBA NAOMBA MUNGU MAREKANI IANZE VITA YAKE HALISI YA KIUCHUMI KUTUONDOLEA HUU MWIBA WA MABEBERU MA'ROBOT' YASIYO NA MOYO WALA MASIKIO YA CHINA!
Endelea kuota hivyo hivyo mkuu. Ila ukisikia umebanwa mkojo husikojoe. utakojolea godoro
 
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
1,275
Points
2,000
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
1,275 2,000
Marekani haijaanza vita halisi ya kiuchumi na China, na mimi binafsi ninaona inawauzia wachina mbuzi kwenye gunia wazidi kuvimba kichwa!
Marekani inaweza kabisa kuifuta China duniani pale itakapoanza kulenga soko la Africa na dunia ya tatu kwa ujumla wake bila kujali faida kubwa na hapo ndio utaona jinsi China itakavyogeuka chui wa karatasi na pengine hata kuanza vitisho vya Korea ya kaskazini!
NB: KWA JINSI WACHINA WANAVYOTUFANYA WAJINGA NA KUTUJAZIA MADAMPO YETU NA BIDHAA ZAO JAKUBUMBA NAOMBA MUNGU MAREKANI IANZE VITA YAKE HALISI YA KIUCHUMI KUTUONDOLEA HUU MWIBA WA MABEBERU MA'ROBOT' YASIYO NA MOYO WALA MASIKIO YA CHINA!
marekani akija Africa atakula loss raw materials zake na process nzma ni so expensive na huku lazma uuze vtu cheap tofaut na mchina yy ana cheap production ndo maana bidhaa zake sio expensive sana kaiteka Africa
 
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
2,579
Points
2,000
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
2,579 2,000
marekani akija Africa atakula loss raw materials zake na process nzma ni so expensive na huku lazma uuze vtu cheap tofaut na mchina yy ana cheap production ndo maana bidhaa zake sio expensive sana kaiteka Africa
Sio kweli, Marekani ana baadhi ya cheapest raw materials, mfano mafuta! Nchi gani ingine Duniani inaweza kutengeneza magari YANAYOBWIA mafuta, wakati ina uwezo wa kutengeneza gari zenye fuel economy,kama Marekani?
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,333
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,333 2,000
Dola itaangushwa ni blockchain au crypto currencies.

Anguko hili litaongozwa na bitcoin ikishikiana na monero na ripple.
 
Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,886
Top