Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Habari wanaMMU,
Naomba leo tujadiliane kuhusu issue hii ya mama wa kambo. Naamini humu ndani ya jamvi kuna waliowahi kuishi na mama wa kambo au wao wenyewe wamejikuta wanaitwa mama wa kambo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Pia naamini kua hakuna mama anaependa kua mama wa kambo. Na hakuna mwanamke anaezaliwa ili awe mama wa kambo. Kumbe mama yeyote anaweza kuwa mama wa kambo.
Sasa kuna sifa nyingi sana tumezisikia au kuziona juu ya wamama hawa nami nitaainisha chache tu kwani wanajamvi zingine mtanisaidia
Ninajua wewe ndugu yangu unayo mengi ya kushare hebu tueleze nini mtazamo wako juu ya hili
Nawakilisha

- Ukatili
- Ubinafsi
- Roho mbaya