Nini Msimamo wa CHADEMA katika mambo haya?

JC.
Achana na huyu jamaa ukimbana anafuta posts zako au kukufungia pia ni MOD hapa.nitumie email yako kwenye PM yangu nikutajie mtu gani huyu.kwenye mijadala mingine anajifanya ni mzalendo na Mtanzania namba moja ila UDINI ndio agenda yake ya kwanza.usimjibu wewe weka hoja tu,kaishiwa jamaa.

Kanda2 anaendelea hapa chini:

Na baada ya kufuta posts zako,

Atakulazimisha uache shule ili ukasomee kiarabu kule madrasa. Na kisha atakaleta majeshi ya Israel yakupige hadi ukome --- shauri yako wewe.

Usije kusema kuwa sikukuonya... wewe JC, achana na huyu jamaa bana.

Miiii nhgwiii nghwiii ngwiii .... naombeni maji ya kunywa sasa ..... waaaaa waaaa waaaaa... mkanda wangu wa kujilipua uko wapi?!
 
Na kazi itaanza kwa kutoa maonyo mara tatu ... baada ya hapo, vijana wa kazi watashuka na kuanza mkong'oto hadi kieleweke.
Sishangai kukutana na watu kama wewe, This is JF... kusanyiko la aina zote za saratani za fikra...!
 
Kwakuwa CHADEMA hawana tamko lolote kuhusu mamabo ya msingi kama haya "Nakuhakikishia nchi hii wasahau heri hata hao CCM" . Seriously hapo CHADEMA na opportunist tu wamejaa wanaogopa ku handle issue sensity kama hizi kwenye jamii..ovyoooo! ndiyo waje wapewe uongozi. kuongozo ni zaidi ya kupiga kelele.
Nina wasiwasi na wao ni "Agency wa kanisa na wakabila" tuepushe na hili kikombe itakuwa balaa
Je ni kweli hakuna hakuna msimamo kwenye issue hizi?
 
Hujajibu swali la jana --- utalipua shule ngapi mwaka huu?
 
Najenga shule nilipue ya nini? Nimewauliza viongozi wa CHADEMA kwa kuwa hawana majibu "Wameliwa??)

Na ukimaliza kulipua shule, unaanza kulipua misikiti ya washia (assuming kuwa wewe ni msuni) au kinyume chake. Si ndio?
 
Na ukimaliza kulipua shule, unaanza kulipua misikiti ya washia (assuming kuwa wewe ni msuni) au kinyume chake. Si ndio?
Ehe nikimaliza kulipua misikiti nalipua kanisa endelea!!!! unajifurahisha sanaaaa lakini uzuri ni kwamba utachukia we lakiniutazidi kutusikia sisi hatuna shida tunapeta jinyonge.
 
Ehe nikimaliza kulipua misikiti nalipua kanisa endelea!!!! unajifurahisha sanaaaa lakini uzuri ni kwamba utachukia we lakiniutazidi kutusikia sisi hatuna shida tunapeta jinyonge.

Be my guest.

Hapa nilipo nimepiga simu piza hut kuagiza supreme nyingine maana hii explosion inayoendelea hapa si mchezo.

Mwaka huu mtajinyonga na hizo mahakama zenu.
 
mnataka chadema waweke msimamo wa kidini katika chama chao?.....nyie mmechoka!...ni ccm tu ya makamba ndiyo inayaweza haya,imewarubuni waislam kwa kitu ambacho hakiwezekani kuwaahidi mahakama ya kadhi kwa faida za kisiasa kasoro zimeonekana na hata rais kachanganyikiwa katika hili maana kasema ilani aliletewa tu ainadi lakini hakushiriki kuiandaa.....chama hakitakiwi kiwe na sera yoyote kuhusu dini yoyote maana ho ni mwanzo wa kugawanyika kitaifa na utaifa wetu.....sasa haiwezekani ccm wameonesha wazi kuchemka kuliingiza suala hili katika ilani yao alafu watu watake chadema itoe tamko.....mimi nadhani chadema watasimama kama baba wa taifa alivyosimamia katiba.....''Tanzani ni nchi isiyo na dini ila watu wake wana dini tofauti tofauti''
 
Be my guest.

Hapa nilipo nimepiga simu piza hut kuagiza supreme nyingine maana hii explosion inayoendelea hapa si mchezo.

Mwaka huu mtajinyonga na hizo mahakama zenu.
Mimi ndio napeta na kikombe changu cha chai ...happy than ever...
 
CHADEMA hawana msimamo hata juu ya jinsi serikali inavyotakiwa kuwa, hiyo kwao bado ni rasimu sifuri katika kile wanachoita ''sera ya majimbo''. Katika hali kama hiyo si sahihi kutegemea kuwa CHADEMA watakuwa na msimamo juu ya detailed issues kama za OIC etc. by the way, kwa nini swali limeelekezwa kwa CHADEMA peke yao? CUF, TLP na wengine mbona hawajaulizwa misimamo yao?
 
Kwa sababu wao sio suicide bombers kama ..... wewe?
 
Mwafrika ana matatizo ya Akili...endelea na mambo yako..Chadema wasipotoa msimamo watabakia upinzania hadi kufa... bado watoto sana kuendesha nchi...CCM JUU JUU ZAIDI.
 
Mwafrika ana matatizo ya Akili...endelea na mambo yako..Chadema wasipotoa msimamo watabakia upinzania hadi kufa... bado watoto sana kuendesha nchi...CCM JUU JUU ZAIDI.

Good job,

Haikuchukua zaidi ya siku moja kujua message kwenye thread yako. Kumbe ni mwana ccm - chama cha mafisadi!?
 
Back
Top Bottom