Nini Msimamo wa CHADEMA katika mambo haya?

Msimamo wa Chadema ni mambo ya heri kwa Watanzania si mambo ya hadaa ya kupata kura.Uhalisia wa mambo uko wazi kwa Tanzania ya leo.
 
Msimamo wa Chadema ni mambo ya heri kwa Watanzania si mambo ya hadaa ya kupata kura.Uhalisia wa mambo uko wazi kwa Tanzania ya leo.
Mambo ya heri si maneno matupu na malalamiko" Uhalisia ni kwamba Mahakama ya kadhi ni lazima kwa Waislamu wa Tanzania siyo porojo tu.
 
Mambo ya heri si maneno matupu na malalamiko" Uhalisia ni kwamba Mahakama ya kadhi ni lazima kwa Waislamu wa Tanzania siyo porojo tu.

Mahakama za kadhi zitaishia huko Somalia na sio bongo. Serikali makini inajua namna ya kupambana na maboko haramu wa kijahidini kama wewe kwa kutumia vyombo ya dola na sio matamko.
 
contena kama unataka kujua sera za CHADEMA naomba utembelee tovuti ya chama,pale utaona sera za chama na focus kuhusu Vijana na Tanzania ya leo na kesho
 
bwana kontena kwa kukusaidia we ukiingia kwenye tovuti makini just nenda kwenye tamko la kamati kuu kuhusu ufisadi na misimamo mingine ya chama-----

chama hakibahatishi, ni matamko yaliyo makini na wewe ukiyasoma utajua chama kina msimamo gani kuhusu querries zako.
 
unajaua chama kimejaa wasomi, sio wale wa darasa la nane la mkoloni kama ccm, chama kimejaa wasomi wa karne ya 21----thinkers na stratergists, so hakikurupuki ovyo kwenda kwenye media na kuanza kuongea ovyo.
 
lakini nao am glad that many Tanzanians wameanza kujua wajibu wao kwa nchi yao, nchi haiwezi kuendelea kama vijana tumelala. lakini what i would ask Tanzanians ni kuwa jamani tuanze kuijenga nchi yetu, make kila nikija home naona vijana wanaota kupata utajiri kwa njia za udanganyifu yaani ufisadi. jamani tuachane na hizi fikra potofu kuwa ili uwe tajiri lazima uibe, make ukiiba yaani zaidi unajiibia wewe mwenyewe, make ukiiba huwezi jua impact yake, labda ukijua kuwa ukiiba utakuwa umewakomoa Watanzania lakini kumbe ndani ya hao Watanzania kuna bibi yako, babu yako, binamu zako na wengine ambao watasuffer kwa aijli yako.

Tutengeze katabia kuwa hard workers tukifocus zaidi kuwa successful lakini sio kwa kuiba.

Ni mawazo yangu (rom)
 
Back
Top Bottom