Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Kutoambilika kwa watu hawa ni sababu moja inayofanya watu wenye kuona mbali wasisumbuke nao - kutoa majibu
Chadema kina wajibu wa kulinda amani lakini hakina wajibu wa kutoa majibu kwa kila swali la kipuuzi linalotolewa na watu ambao wameonyesha wazi kuwa hawaitakii mema Tanzania
Kusema kuwa ni maongezi ya kijiweni mbona ni nafuu zaidi, chadema wangetaka kuwaudhi hawa watu, wangetumia lugha kali kama yangu - kuwaita hawa watu kwa vile walivyo - mujahidini.
Chadema haina sababu ya kurudia kuwaambia watu ambao tayari hata wewe umesema kuwa hawaambiliki. Nakuhakikishia kuwa hawa watu hawamtishi yeyote na dawa yao inajulikana wazi - kipigo barabara toka kwa vijana wa ukonga
Asante hii mi naanza kuona kama biashara ya kuomba 'manna' leo hii bwana god hataileta.
Endeleeni kama itaendelea mi naishia hapa kwa leo.