Nini matumizi ya Mabondo ya Samaki Sangara?

Unazijua Saa Nane Utanikoma ndugu Mwandishi? Ni moja kati ya bidhaa zinazotengenezwa kwa kutumia Mabondo. Watu wanaiongea tu kilo moja kilo moja, hiyo kilo mpaka ukaipate kwenye hilo Bondo kavu!
 
Na ukumbuke tu, bei ya bondo bichi ni tofauti na bondo lililokauka. Hii biashara nimeiona tangu nikiwa mdogo sana hapo Mwanza Mabatini. Yanakera yale madude harufu!
 
Mbona kuna hadi kiwanda cha mabondo cha wachina karibu na ilemela islamic hapo msumbiji tu
 
Unazijua Saa Nane Utanikoma ndugu Mwandishi? Ni moja kati ya bidhaa zinazotengenezwa kwa kutumia Mabondo. Watu wanaiongea tu kilo moja kilo moja, hiyo kilo mpaka ukaipate kwenye hilo Bondo kavu!
Kilo tunazoongelea ni bondo bichi
 
Nimeupenda bure huu uzi,naomba kujua hiyo biashara ya mabondo inafanyikaje?mfano nikinunua samaki ya grade ya chini kabisa wa sh.milioni 1 naweza kupata faida kiasi gani kwa kadirio la chini?
 
Twenzetu Bunda au Kibara tukafanye uchunguzi
 
Nimeupenda bure huu uzi,naomba kujua hiyo biashara ya mabondo inafanyikaje?mfano nikinunua samaki ya grade ya chini kabisa wa sh.milioni 1 naweza kupata faida kiasi gani kwa kadirio la chini?
Biashara ya samaki ni Kama biashara ya madini
Kikubwa uwe makini
Ukinunua samaki wa sh.1m unaweza kupata faida mpaka 1.5 m

Hii iko poa Sana ndo imenikuza na kunisomesha mpaka hapa nilipo
 
Back
Top Bottom