Na sangara alikwishatolewa Bondo kilo moja NI shilingi 3000 huko visiwani!Ndio maana nilikuwa nashangaa kila nilienda kununua buchani nakuta wameshatolewa utumbo zamani.
Kutengeneza nyuzi zinazotumika kushona binadamu baada ya operation. Zinauzwaga ChinaJaman anaejua
Kazi ya mabondo aseme
Mpaka 2000Na sangara alikwishatolewa Bondo kilo moja NI shilingi 3000 huko visiwani!
Umeona eee. Bondo lake haliwezi zidi kilo 3Mkuu huyo atakuwa SANGARA WA JF![]()
Hata kma ni kg 5 si ulipatakama milion 3Huyu hajui kitu!
Mimi nilishaokota sangara was kilo 187 Lakini Bondo lake halikufika hata kilo nane!
I think sio hizi nyuzi za hapa Tz. Ni Gundi ya ngozi au tissues. Maana hawa jamaa wanatechnologia ya kugundisha human tissues. So kama ngozi imechanika hawashoni bali wanagundiisha kutumia ayo mabondo. Hii ndyo inatumika hasa kwenye face surgery, na intestine surgery.Mkuu nacho jua mimi hayaliwi bali ndio yanatengeneza nyuzi z kushona miili ye2 baada ya operation ndio mana kilo yake now inaweza kua juu ya elfu 10 au zaidi miaka 10 iliyopita ilikua 6000sh perkg palepale mwz
Hapana mkuu Lile Bondo lilikuwa na kilo sita na point kadhaa samaki mwenyewe hakuwa mpya!Hata kma ni kg 5 si ulipatakama milion 3

Mkuu hivi unajua unachoandika?Thamani ya bondo inatokana na daraja la bondo. Kuhusu tumizi sijui ila nachojua bondo huhesabiwa thamani kutokana na uzito
Daraja la kwanza tsh 2300 kwa gram
Ila daraja la mwisho ni chini ya tsh 100 kwa gram. Hivyo yote yatajaa hapo kati
Mkuu kwenye mabondo Kuna madaraja manneMkuu hivi unajua unachoandika?
Kama matumizi yake ni hayo, naanza kukubaliana na watoa hoja. Zaidi, kama ukweli ndiyo huu, basi hata bei ya TZS 400,000/= kwa kilo bado ni ndogo sana. Sana sana ilitakiwa iwe angalua TZS 800,000/= au million moja kwa kilo. Wewe umesema neno.Mimi nachojua huwa yanapelekwa China!
Na swala la kutengeneza nyuzi za kushonea waliofanyiwa upasuaji na lenyewe nilishalisikia ingawa Sina uhakika nalo!
Nakijua ndiyo. Unachotakiwa ni kutofautisha kati ya kilogram na gram. Mfano bondo moja la kilo moja thamani yake ni 2300 kwa gram na mabondo kumi ya kilo moja thamani yake ni tsh 320 kwa gram.Mkuu hivi unajua unachoandika?
Yaani kwenye mabondo kuna daraja zaidi hata ya 20. Yaani chips ina daraja kama nne. Small inadaraja kibao. Midium ndo idadi yake ni kibao japo yote ni midium na large hivyohivyoMkuu kwenye mabondo Kuna madaraja manne
1 chips
2 small
3 big
4 large
Namba nne kama nimekosea naomba mnisahihishe
Lakini hapo Kila ukubwa unathamani yake!
Mfano kilo maja ya chipsi hailingani thamani na kilo maja ya small
Na small hailingani na big na big hailingani na (large) mtarekebisha hapo Sina hakika Kama napatia kuandika Hilo neno
Mapank ni mfumo wa mifupa wa samaki. Yaani mafuvu(scallerton)Sijui ndio mapanki?
Mkuu hata hiyo hela uliyotaja kwa kilo mbona ni 'ndefu' sana tu ikiwa mvuvi anavua kila siku?Nakijua ndiyo. Unachotakiwa ni kutofautisha kati ya kilogram na gram. Mfano bondo moja la kilo moja thamani yake ni 2300 kwa gram na mabondo kumi ya kilo moja thamani yake ni tsh 320 kwa gram.
Kinachofanyika pale ni kulipima bondo moja na kuliona uzito wake kisha mnachukua mabondo yote ya daraja hilo kuyapima yote kujua uzito wake jumra kisha mnachukua bei ya daraja mara uzito wa jumla.
Mfano.
Bondo la gram 200 mpaka gram 350 bei yake ni tsh 220 kwa gram
Hivyo ukiwa na mabondo kumi ya saizi hizo yatakupa uzito wa kilo tatu.
Hivyo unachukua 1000gram×3kg×tsh220=660000tsh.
Watu wanadanganyika utadhani bei ya bondo ni almas.
Kwa bei nazoziona hum jf bas wavuvi wote wangekuwa wanaendesha v8
Mfano samaki ambaye anatoa bondo la gram 300 moja huyo samaki atakuwa na kg 9 ama zaidi. Hivyo bas samaki wengi tunaovua sisi babondo yao ni kati ya gram 45 mpaka 99 ambayo ni midium ya kwanza chini. Bei yake ni tsh 150 kwa gram hivyo bas kilo nzima itakupa tsh 150000. Unaweza iona ni kubwa kweli hebu tuiangalie. Samaki ambaye atatoa bondo la gram 60 uzito wake uko kati ya kilo 2 hadi tatu. Hivyo bas unapaswa uwe na samaki 17 ili upate kilo1 ya mabondo wa aina ile. Na endapo utawapima katika mzani watakupa uzito wa kati ya kilo 40 mpaka 50. Kwa hiyo ukiwauza bila kutoa bondo kwa bei ya 5000 kila kilo utapata kati ya 160k mpaka 200k. Na ukiwatoa mabondo unayauza 150k kisha unawaingiza sokoni wakaliwe kama mboga. Nadhani umeshanielewa.Mkuu hata hiyo hela uliyotaja kwa kilo mbona ni 'ndefu' sana tu ikiwa mvuvi anavua kila siku?