Nini Majukumu ya Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika ( SARPCCO)?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wakuu Habari zenu

Kwanza natoa pongezi za dhati kwa Mkuu wa jeshi la polisi nchini ( IGP) Ernest J. Mangu kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika katika mkutano uliofanyika jijini Arusha.

Vilevile napenda kuelimishwa juu ya majukumu ya madaraka hayo kwake kama mwenyekiti wa SARPCCO, je kuna ongezeko lolote la kicheo katika mtiririko wa cheo anachovaa begani mwake? Na ni alama gani imeongezeka? Maslahi yake katika madaraka hayo mapya yanagharamiwa na nani?
 
Back
Top Bottom