Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.

Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU

(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM

(C). Chuo cha Mafunzo

Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.

Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?

Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?

Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
 
Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
 
Mkuu huyo huenda akawa kiongozi mkuu wa kikosi maalum cha "Janjaweed" kinachotumika kuteka, kutesa, kuumiza, na hata kuuwa raia kwa ajili ya kuilnda CCM isipoteze dola huko Zanzibar. Duh! Kumbe bado ni usiku mzito, ninaota tu!
 
Kwa vile tanganyika haina jeshi kias uje na swali hilo,ipo hivi zanzibar ina kila kitu chake siku huu muungano wa magumashi ukiisha hili swali hutokaa uulize tena.
 
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.

Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU

(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM

(C). Chuo cha Mafunzo

Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.

Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?

Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?

Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
KZU
 
Hivi haya majeshi yaliopo Zanzibar yana mahusiano yapi
KVZ
KMKM
JKU
Recruit wao wanatoa wapi na je kuna wabara wanaojoin hvyo vyombo
Combat zao ie JKU mbona zinafanana na PSU tena wa bara?
 
Hivi vyote ni vikosi vya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vipo chini ya wizara ya vikosi. Mahusiano ni makubwa kwani yanaingiliana majukumu sana. Ikulu utakuta kuna askari wa Kvz hapohapo kuna jku na usalama wa taifa.

Hawa jamaa suala la uajiri ni very secretive, hawatangazagi nafas hadharani na wanachukuaga watu kimya kimya. Miezi wanayochukua watu ni 2, 3 U 4 kutegemea na mpango wa mwaka husika.
 
Ni wapi kwenye katiba ya Jamuhuri ya muungano au kwenye orodha ya devolved matters za muungano; ambapo imetamkwa Zanzibar itakuwa na vyombo vya ulinzi independently.

Tusome kwanza siasa na kuelewa siasa kabla ya kujiandikia mambo tu ya kufirika.
 
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

..kuna siku vitageuka kuwa kama m23.
 
Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
Kwa cheo ni Brigedia Jenerali lakini vile vile ni Mkuu wa Brigedi ya Nyuki..
 
Hivi vyote ni vikosi vya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vipo chini ya wizara ya vikosi. Mahusiano ni makubwa kwani yanaingiliana majukumu sana. Ikulu utakuta kuna askari wa Kvz hapohapo kuna jku na usalama wa taifa.

Hawa jamaa suala la uajiri ni very secretive, hawatangazagi nafas hadharani na wanachukuaga watu kimya kimya. Miezi wanayochukua watu ni 2, 3 U 4 kutegemea na mpango wa mwaka husika.
Nmeongelea magogoni na baadhi ya sehem za TISS kama ni KVZ na JKU kwanini walinde bara na sio JKT na JWTZ
 
Nadhani umeshawaona pahala wanavaa izo combats
Mwanzoni nilidhani ni combats za TISS VIP protection armed zipo za JKU na nyeusi karanga

Back
Top Bottom