Nini majukumu ya consumer protection?

Hamiyungu

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
567
714
Hapa nchini tuna taasisi nyingi sana lakini hazifanyi kazi yake ipasavyo,wahusika wanakula viyoyozi tu maofisini na kutumia kodi zetu vibaya lakini hakuna wanachokifanya.

Mwezi uliopita kwenye mitandao ya kijamii ilitembea habari ya wachina waliokuwa wanatengeneza vinywaji fake na kuviingiza sokoni, lakini jambo la kujiuliza ni TFDA kazi yao ni nn?TBS kazi yao ni nn!?consumer protection kazi yao ni nini?

Mpaka kiti kinafika kwa mwananchi hizo taasisi zinafanya nn!?kwann hawapiti kwenye maduka na kukagua bidhaa tunazo uziwa!? Ni bidhaa ngapi fake tunazo zitumia na kuathiri afya zetu na watu wa kutulinda wapo tu maofisini wanasubiri mpaka wapewe maelekezo!?

Leo hii cement ya twiga imeadimika kidogo wauzaji wameipandisha bei toka 15500 mpaka 18,000/-je taasisi ya consumer protection hamuyaoni haya? Ni yapi majukumu yenu?
 
Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom