Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ni kweli mkuu, nini madhara ya kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania imekumbwa na mlipuko wa Zika?Kule brazil waliweka hadi picha.
Mbona hatujaona picha hata moja ya mtoto mwenye zika hapa Tanzania?
Zika mtoto anakuwa na mimacho makubwa na kichwa kiduchu/kikubwa.
Tunaomba picha za hapa Tanzania
Nafikiri wengi wanaonekana kulichukulia suala tangazo la Zika kwa ulimwengu kama jambo la kawaida. Tunakumbuka Miaka michache iliyopita baada ya madhara ya mlipuko wa dhahiri wa Zika kuikumba Brazil ilifika almanusura michuano ya olimpiki ipigwe marufuku,na hata kombe la dunia nchini humo liliathirika. Natambua wengi wanafikiri uwepo wa Zika Tanzania utawanufaisha kisiasa au utawasaidia kupata umaarufu kisiasa ndio maana pengine wameibuka watu wanaotumia mwanya huu pengine kufurahia jambo hili.Sipingi utafiti wa wataalamu wa afya tena ni taasisi ya serikali ila nimetaka kujua kutoka kwa wajuzi ni hatua gani hupitia ili kutangaza janga Fulani kwa nchi hasa la maradhi kwani matamko mengine huleta tafrani kubwa na kuathiri utalii,uwekezaji nk.
Nini madhara ya kuitangaza Tanzania kuwa imekumbwa na janga la Zika? ni taratibu gani hutumika kutangaza majanga? utafiti wa NIMR ulifadhiliwa na nani? kama ni serikali Je serikali ilipewa ripoti kabla ya kutangazwa kwa ulimwengu?
Tumia kichwa kufikiri !!Sasa hao watalii waje kwa pesa zao watumie pesa zao
halafu tuwazawadie Zika hivi una akili wewe
yaani unajua huyu mtu kaukwaa halafu unagegedana nae ??
Kule brazil waliweka hadi picha.
Mbona hatujaona picha hata moja ya mtoto mwenye zika hapa Tanzania?
Zika mtoto anakuwa na mimacho makubwa na kichwa kiduchu/kikubwa.
Tunaomba picha za hapa Tanzania
Mkuu kinachoendelea ni kuwa watu wengi hawaelewi madhara ya kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania imekumbwa na mlipuko wa Zika nimeona pia wengine watafurahi zaidi pale nchi itakapokumbwa na matatizo ya kiuchumi, si kwamba wanampenda Dr.Mwele la hasha bali kwao wamepata hoja ya kisiasa dhidi ya nchi yao.Tumia kichwa kufikiri !!
Unauhakika na unacho kizusha?
Jamaa unapozi hoja kiukomavu sana. Unahoji huku ukielimisha. Nimekuelewa vzr sana hasa kwenye aya ya mwisho ya andiko lako. Kwamba hata kama ni sayansi lkn ni sayansi dhidi ya janga kubwa ambalo linahatua na taratibu zake siyo tu katika kulitafiti bali pia katika kutangaza uwepo wake. Hapo kwenye hatua na taratibu zake ktk kutangangaza ndipo tunapomkamatia Dr. Mwele. Thanks mingi sanaNafikiri wengi wanaonekana kulichukulia suala tangazo la Zika kwa ulimwengu kama jambo la kawaida. Tunakumbuka Miaka michache iliyopita baada ya madhara ya mlipuko wa dhahiri wa Zika kuikumba Brazil ilifika almanusura michuano ya olimpiki ipigwe marufuku,na hata kombe la dunia nchini humo liliathirika.
Natambua wengi wanafikiri uwepo wa Zika Tanzania utawanufaisha kisiasa au utawasaidia kupata umaarufu kisiasa ndio maana pengine wameibuka watu wanaotumia mwanya huu pengine kufurahia jambo hili.
Sipingi utafiti wa wataalamu wa afya tena ni taasisi ya serikali ila nimetaka kujua kutoka kwa wajuzi ni hatua gani hupitia ili kutangaza janga Fulani kwa nchi hasa la maradhi kwani matamko mengine huleta tafrani kubwa na kuathiri utalii,uwekezaji nk.
Nini madhara ya kuitangaza Tanzania kuwa imekumbwa na janga la Zika? ni taratibu gani hutumika kutangaza majanga? utafiti wa NIMR ulifadhiliwa na nani? kama ni serikali Je serikali ilipewa ripoti kabla ya kutangazwa kwa ulimwengu?
Sawa sikatai sasa kwa sababu NIMR ni taasisi ya serikali kwanini asipeleke kwanza wizarani na Ikulu?Dr M. Malecela alitangaza matokeo ya utafiti, na akaenda mbali kusema kuwa hatua za kubaini ukubwa wa tatizo hilo zichukuliwe (tahadhari). Ukienda hata katika website ya CDC utaona Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo watu wanatakiwa wachukue tahadhari kuna dalili zote za ZIKA (cautioned destination). Isn't yet epidemic.
KADA
Leo unalo,utatukana sana,na ZIKA ndio habari ya mujiniPimbi kabisa iko wapi kambi ya zika, wangapi wamelazwa kisa zika.
Huyu.maza kaikosea sana taaluma yake.
Watu wanaleta siasa katika masuala ya TaifaNafikiri wengi wanaonekana kulichukulia suala tangazo la Zika kwa ulimwengu kama jambo la kawaida. Tunakumbuka Miaka michache iliyopita baada ya madhara ya mlipuko wa dhahiri wa Zika kuikumba Brazil ilifika almanusura michuano ya olimpiki ipigwe marufuku,na hata kombe la dunia nchini humo liliathirika.