Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Wadau nataka kujua kama kuna tatizo lolote ukiomba course mfano ya biashara lakini umesoma arts. Nauliza kwa sababu kuna vyuo wanatoa mapendekezo matano, je ulimaliza mapendekezo yako ukaweka ambayo huna vigezo ili kwamba ikitokea umepata ukachange hukohuko chuoni!. Msaada kidogo wa mawazo yenu Wadau. Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app