malaika wa motoni
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 131
- 102
Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.
Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.
ASANTE.