Nini madhara/ faida ya bangi?

Mkuu.@OLESAIDIMU Soma hapa Madhara ya kunywa Pombe Side Effects Of Drinking Alcohol


original.jpg


They say beauty is in the eye of the beholder! And with a whiskey in the hands of the holder, the holder becomes the beholder and the beauty can easily be seen in his eyes through the golden liquid that’s radiating from across the glass. It looks a class apart; in fact all

alcoholic beverages do when compared to rest of the stuff out there. The glow just draws you in and is almost impossible to resist. But along with the glow, there’s a blow that’s impossible to ditch. The blow comes in the form of side effects of alcoholism. All alcoholic

beverages (beers, wines, and spirits) contain ethanol in them that actually act as a depressing agent, though the animated behavior of the drunken person may make it seem like a stimulant. Too much of anything is bad and so is the case with alcohol too, for the side

effects related with its consumption come like a pack of wolves on the hunt. An occasional drink or two might not do the damage on a chronic level, but regular intake like an addict will definitely add a whole new dimension to the word chronic. Are you now choked? Before you gulp down another glass of it, shift your focus downwards and read some of the negative effects that alcohol brings with it.


Negative Effects Of Alcohol

  • Higher intake of alcohol or a few shots in succession (more than a person’s body can handle) can lead to intoxication on a serious level, which will, in turn, lead to speech impairment, hampered vision, dizziness, wooziness, slower reflexes, sense of nausea, vomiting, passing out, hangover after waking up coupled with headache, fatigue, and dehydration. It may also lead to alcohol poisoning and hospitalization if the intake is more than what a person’s body can tolerate.
  • Consuming alcohol on a regular basis makes one’s body tolerant to it; as a result more and more amount of shots will have to be taken by the person to get the desired state of high that one gets from alcohol. It’ll slowly turn into addiction as the body will now demand it in more quantities and at frequent intervals. Leaving this addiction has further set of side effects added to the bundle.
  • Moderate consumption of alcohol (1-2 glasses of wine) is known to have positive side effects on the body including lowered risk for heart attack and other coronary diseases. But an addiction to alcohol can negate the positive effects of it and will increase the chances of a heart stroke and heart failure even more.
  • Persistent intake of alcohol can have major psychological implications on the system like depression, anxiety, and panic disorders leading to high risk of a suicide attempt by the person. Hallucinations are also known to be a result of alcoholism. Dementia (deterioration of brain) has often been linked to alcoholism. Researches show that 10-25% of dementia cases stem from alcoholism.
  • Alcoholism can result in cancerous formations like mouth cancer, pharyngeal cancer, oesophageal cancer, breast cancer, and bowel cancer; liver diseases like fatty liver, cirrhosis, and alcoholic hepatitis leading to a possible chance of liver transplant. It’s also a leading cause for a cancerous liver.
  • Consuming alcohol when pregnant can cause the baby to be born with birth defects like deformed head, eyes defects, and heart problems.
Now that you’ve read about the alcohol side effects, it’s time you made an effort to leave this habit at the earliest.
 
Bangi husababisha magonjwa ya ini, figo na akili






Bangi husababisha magonjwa ya Ini, Figo na akili
*Awali ilidhaniwa kupunguza msongo
*Calfornia, New Mexico, Canada waitumia kama dawa


BAADA ya kukuwepo kwa baadhi ya tafiti zilizokuwa zikiruhusu uvutaji wa bangi kwa madai kuwa ilikuwa ikiwasaidia wagonjwa hasa waliokuwa wakisumbuliwa na msongo wa mawazo imesababisha baadhi ya nchi kuruhusu matumizi yake.

Pamoja na kwamba mawazo ya wengi yalikuwa yakifikiria nchi ya Jamaica ndiyo ilikuwa mstari wa mbele kwa watumiaji wengi ingekuwa ya kwanza kuruhusu lakini ukweli ni kwamba nchi ya Canada ndiyo ilikuwa ya kwanza kukubali bangi kutumiwa kama dawa ya maradhi.

Baada ya utafiti huo wa awali hivi karibuni watafiti wengine wamegundua kuwa matumizi ya bangi kwa muda mrefu yanasababisha kujiongezea madhara badala ya kutibu kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali.

Watafiti hao wamekwenda kinyume na wale wa kwanza kwa kusema kuwa matumizi yake yanauwezekano mkubwa wa kumletea mtumiaji magonjwa ya kupunguza uzito mara kwa mara, magonjwa ya Figo na Ini na ugonjwa wa akili.

Watafiti waliogundua athari hizo ni wale wanaotokea nchini, Australia ambao katika utafiti wao wamegundua kuwa zaidi ya vijana wanaofikia 3,100 walio katika umri wa miaka 20 ndio wamekuwa watumiaji wakubwa wa bangi.

Utafiti wao umekwenda mbali na kubaini kwamba asilimia 18 ya vijana hao ni wale waliojiingiza katika matumizi ya dawa hizo za kulevya kwa muda wa miaka miwili au mitatu.

Asilimia nyingine 16 ya vijana wa umri huo wamebainika kutumia kwa muda wa kati ya miaka minne hadi mitano.

65 kati ya watumiaji wamegundulika wameshaathirika na maradhi ya ugonjwa wa akili.

Wakati hao wakisumbuliwa na tatizo hilo wengine 233 wamebainika kuathirika na figo na Ini.

Watafiti hao pia wamebaini vijana wengine kati yao wamesumbuliwa na tatizo la kupata uchizi (wehu).

Baada ya kubaini hayo watafiti hao wametoa ushauri kwa vijana kutotumia dawa hizi za kulevya kwa vijana kwa zaidi ya miaka sita au zaidi tangu pale siku ya kwanza alipoanza kutumia.

Watafiti hao wanasema kuwa kwa wale ambao sasa wamevuta kwa muda mrefu kati ya miaka 15 na zaidi wengi wao wamekumbwa na tatizo la kiakili.

Kwa mujibu wa Dk. John McGrath, wa kituo cha uchungunguzi wa Afya ya wagonjwa wenye mtindio wa ubongo ya Queensland, iliyopo nchini Marekani, alisema: "wengi wa wagonjwa ambao wamekumbwa na matatizo hayo wamegundua ni wale waliowahi kutumia bangi kwa muda mrefu na hatimaye kujikuta wakipata tatizo la akili."

Daktari huyo alisema kuwa ni nadra sana kukutana na wagonjwa wa akili vijana halafu wakawa hawajawahi kutumia bangi iwe mwaka mmoja au zaidi.

Alisema kuwa iwapo matumizi ya bangi yatakomeshwa tatizo la vijana kupata matatizo ya utahira yatapungua kwa kiasi kikubwa duniani.

Bangi ni nini, inatumiwaje?

Kwa hapa nchini na baadhi ya nchi, bangi imetambulika kama dawa za kulevya ambayo imekuwa na majina mengi kutokana na kutumiwa na kundi la vijana zaidi kuliko watu wazima.

Bangi imekuwa ikijulikana kwa majina mengi ikiwamo, Dawa, Ganja, Hashish, Kijiti, Marijuana, Kaya Blunt, na mengineyo ilimradi kutegemeana na sehemu inapotoka na watumiaji wengi wamekuwa wakiitumia kwa kuvuta kama sigara au wengine hutumia kwenye kiko kwa kuvuta.

Bangi ni bidhaa iliyochanganyika na kemikali hatari ambazo ni sumu ambayo huathiri afya kama vile ‘nicotine' na nyingine hatari.

Wapo baadhi ya watumiaji wa bangi ambao wamekuwa wakiitumia kwa kuiweka katika maji wakiifanya kama majani chai na wengine huchanganya kwenye chakula.

Kwa vipi bangi inaathiri ubongo?

Wanasayansi wamebaini kuwa matatizo makubwa yanaanza kupatikana kutokana na bangi kuingia kwenye ubongo wa mtumiaji na kuathiri mfumo mzima wa akili.

Tatizo kubwa linalomkumba mvuta bangi ni kunyemelewa na magonjwa ya Ugonjwa wa Shinikizo la damu (BP), kupoteza kumbukumbu, Mawazo, anaridhika hata kama anamatatizo.

Pia mtumiaji wa kila siku anakuwa akikumbwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika ubongo wake.

Imebainika kuwa bangi inachangia kuongeza la mapigo ya moyo toka asilimia 20 hadi 100, muda mfupi tu wa saa tatu baada ya kuvuta.

Bangi huaribu mapafu kwani ina zaidi ya asilimia 50–70 ya kemikali aina ya carcinogenic hydrocarbons kuliko mvutaji wa tumbaju.

Mtumiaji wa bangi hupumua kwa tabu sana kuliko yule anayevuta tumbaku ingawa wote wanaharibu mapafu.

Mvutaji wa bangi anao uwezekano mkubwa wa kukaribisha ugonjwa wa kansa.

Imebainika kuwa watu wanaovuta bangi wamekuwa wakisumbuliwa zaidi na matatizo mengi ya kiafya.

Madhara ya maisha ya kila siku

Watafiti wamegundua kuwa wavutaji wengi wa bangi wamekuwa hawana mahusiano mema na watu walionao karibu kwani wamekuwa chanzo cha matatizo kutokana na wao kuona kila wanachofanya wao ndiyo sahihi na cha wenzao si sahihi.

 
Mkuu Apollo Unatumia Marijuana?

Mimi sio chronic user, Situmii kilevi wala sigara wala drugs yoyote. Ila Kama ilivyo kwa wasadhu na mabuddha na hinduism, Marijuana inaweza kutumika kama Part ya meditation na Yoga, hapo ndipo ninapokubali matumizi yake na ninatumia nikiwa kwenye Yoga au Meditation tu.
 
Mkuu.@OLESAIDIMU Soma hapa Madhara ya kunywa Pombe Side Effects Of Drinking Alcohol


original.jpg


They say beauty is in the eye of the beholder! And with a whiskey in the hands of the holder, the holder becomes the beholder and the beauty can easily be seen in his eyes through the golden liquid that's radiating from across the glass. It looks a class apart; in fact all

alcoholic beverages do when compared to rest of the stuff out there. The glow just draws you in and is almost impossible to resist. But along with the glow, there's a blow that's impossible to ditch. The blow comes in the form of side effects of alcoholism. All alcoholic

beverages (beers, wines, and spirits) contain ethanol in them that actually act as a depressing agent, though the animated behavior of the drunken person may make it seem like a stimulant. Too much of anything is bad and so is the case with alcohol too, for the side

effects related with its consumption come like a pack of wolves on the hunt. An occasional drink or two might not do the damage on a chronic level, but regular intake like an addict will definitely add a whole new dimension to the word chronic. Are you now choked? Before you gulp down another glass of it, shift your focus downwards and read some of the negative effects that alcohol brings with it.


Negative Effects Of Alcohol

  • Higher intake of alcohol or a few shots in succession (more than a person's body can handle) can lead to intoxication on a serious level, which will, in turn, lead to speech impairment, hampered vision, dizziness, wooziness, slower reflexes, sense of nausea, vomiting, passing out, hangover after waking up coupled with headache, fatigue, and dehydration. It may also lead to alcohol poisoning and hospitalization if the intake is more than what a person's body can tolerate.
  • Consuming alcohol on a regular basis makes one's body tolerant to it; as a result more and more amount of shots will have to be taken by the person to get the desired state of high that one gets from alcohol. It'll slowly turn into addiction as the body will now demand it in more quantities and at frequent intervals. Leaving this addiction has further set of side effects added to the bundle.
  • Moderate consumption of alcohol (1-2 glasses of wine) is known to have positive side effects on the body including lowered risk for heart attack and other coronary diseases. But an addiction to alcohol can negate the positive effects of it and will increase the chances of a heart stroke and heart failure even more.
  • Persistent intake of alcohol can have major psychological implications on the system like depression, anxiety, and panic disorders leading to high risk of a suicide attempt by the person. Hallucinations are also known to be a result of alcoholism. Dementia (deterioration of brain) has often been linked to alcoholism. Researches show that 10-25% of dementia cases stem from alcoholism.
  • Alcoholism can result in cancerous formations like mouth cancer, pharyngeal cancer, oesophageal cancer, breast cancer, and bowel cancer; liver diseases like fatty liver, cirrhosis, and alcoholic hepatitis leading to a possible chance of liver transplant. It's also a leading cause for a cancerous liver.
  • Consuming alcohol when pregnant can cause the baby to be born with birth defects like deformed head, eyes defects, and heart problems.
Now that you've read about the alcohol side effects, it's time you made an effort to leave this habit at the earliest.

Mmmmhhhhhhhh sawa mkuu......ila mbona sioni hapa matatizo ya ini......predisposition to Diabetes etc...

Kuna mstari hapo unasema one or two glasses of wine are heathy.....
Contrary.....how many puffs of weeder are healthy......if any!!!????
 
Steve Jobs, Obama, Marais wote wa Marekani kuanzia kwa G. Washington aliyekuwa na shamba kabisa), Bill Gates walishakiri kwamba they smokes Pot.

image010.jpg


barack_obama_smoking_weed_picture.0.0.0x0.611x404_i9mo.jpg


images


usn-gates-1141058659.jpg


arnold_630x.jpg


bill_clinton_celebrity_stoner_imdb.jpg


524009_339934709417599_580075094_n.jpg


Kwanii nchi za dunia ya tatu zina Propaganda sana? Laiti mngejua Marijuana ni mmea duniani unaotumika na nchi zilizoendelea kutengeneza karatasi, dawa za kansa, mafuta ya kipikia, nguo, umeme, vinywaji, vyakula vya mifugo na cosmetics sisi tunashikilia tafiti za miaka ya zamani ambazo zilikuwa hazitumii sample ya waliokuwa watumiaji wa Pot tu bali unakuta tafiti zilikuwa zinafanywa mpaka kwa watu ambao walikuwa wameathirika na drugs nyingine(badala ya kupima Pot users ambao hawatumii drugs yingine), why sasa hivi propaganda zimepundua baada ya tafiti mpya kuja? Why sasa hivi Marijuana inakuwa Legal Marekani na tayari Colorado na Washington ni LEGAL?

Angalia official website ya Drugs Policy wameelezea vyema. Hakua effect zake zilizodhibitika kwa watumiaji wa Pot ambao wameanza kutumia 21 years kuendelea na ambao hawatumii drugs nyingine kama sigara na Pombe.

Pili sio drugs tena kwa sababu
  • Ni Organic
  • Haina overdose
  • Haiwezi kuua mtu kamwe (Ili ufe kwa marijuana you have to smoke 17,000 joints per 20 mins tena hutakufa kutokana na ingredients za Pot bali kutokana na Carbon dioxide.
  • It is Natural
  • Still safer than any other drugs
  • Haikai mwilini sana zaidi ya siku 13 tu

Kuna watu wanatumia Pot vyema na haina effect katika maisha yao, inategemea na ustaarabu akili ya mtu, Pot is not bad, sis ndio wenye matatizo.

The 10 Most Successful Potheads on the Planet… Cool Enough to Admit It «

13 Historical People Who Smoked Weed | Marijuana Use Through History

Simaanishi turuhusu,
NO...... bado kuna wajinga wengi hawajui kutumia Pot kiakili wanaishia kukaa vijiweni na wengine wanaacha shule, kazi na wanakuwa wanajiona wajanja kumbe wajinga. Bado Tanzania wengi walianza kutumia Pot wakiwa under 18 or 21 Years, kitu ambacho ni kibaya. Kwa hapa kwetu wakatazwe watu kutumia, bado watanzania wengi hawajui how to use it.

Ila niachoshauri sio kila mtu atumiaye pot hana akili au mjinga, sio wote wajinga wengine wanajua wanachokifanya, ni wasraarabu na wanachek afya zao na hawana tatizo. DON'T JUDGE.

Pia serikali iangalie Faida nyingine za Herb kama kutibu kansa, kutengeneza karatasi, kutengeneza dawa, mafuta ya kula, cosmetics, Nguo, vibande vya kapeti na kathalika vitu ambavyo nchi zilizoendelea zimefanikiwa kupiga hatua badala ya kupanda miti inayochukua muda kukua bora Hemp inayokua kwa miezi michache na inastahimili ukame.
 
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja sheria, lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaovuta bangi ni watu watulivu na wenye hekima sana, nawafahamu watu wengi ambao ni high profile hapa kwetu Tanzania wanaotumia huu mmea, wanasiasa, wafanyabiashara, madaktari na watu wengine wenye mawazo panufu. Leo napenda tuangalie faida kadhaa za mmea huu.

-Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer
Cells - ABC News)

-Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)

-Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.


Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.

Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.
 
Umeandika vizuri, lakini hoja zako zimezama katika tafiti za kisayansi huku ukifahamu fika jamaa zako , jirani zako nk walivyopigiga na kisa ni matumizi yasio stahili ya huo mjani.

Kule kwa wenzetu kiwango cha UFAHAMU KIKO JUU.

NDIO MAANA WANAWEZA HIFADHI HATA VINYWAJI VIKALI OFISINI.
 
Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.
 
Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.

nadhani ukombali na sana na jamii yako ndommana unakimbilia kusema vijana wa mtaani kwako walio chizi ni sababu ya bangi,je unauhakika gani kama kweli ni bangi ilio wafanya hivyo na sio cocaine au heroin
 
Mmhh, mtu anakula 'the herb of all times' afu anashindia skonzi na soda na hana kazi yuko kijiwezi anapiga stori tu, lazima adate.
Bangi bila menyu na kufanya kazi ni kujitafutia kichaa cha bure.
 
nadhani ukombali na sana na jamii yako ndommana unakimbilia kusema vijana wa mtaani kwako walio chizi ni sababu ya bangi,je unauhakika gani kama kweli ni bangi ilio wafanya hivyo na sio cocaine au heroin
Ni bangi,hata ndugu yangu tumbo moja kadhurika na bangi,kuna watu wachache sana wenye vichwa vigumu wanavuta bangi na haiwadhuru ,lakini majority wanadhurika mno kwa ajili ya ganja,mvuta bangi hata ukimuangalia uso wake haiitaji kuambiwa,anakuwa tofauti na binadamu wa kawaida,mimacho myekundu,uso unakuwa wa kiukalikiukali,na uso unakuwa kama wa mzee,wewe kama haijakudhuru mshukuru Mungu,lakini sijui age yako na umevuta kwa muda gani,lakini God forbid iko siku utaelewa nachokisema.
 
Ni bangi,hata ndugu yangu tumbo moja kadhurika na bangi,kuna watu wachache sana wenye vichwa vigumu wanavuta bangi na haiwadhuru ,lakini majority wanadhurika mno kwa ajili ya ganja,mvuta bangi hata ukimuangalia uso wake haiitaji kuambiwa,anakuwa tofauti na binadamu wa kawaida,mimacho myekundu,uso unakuwa wa kiukalikiukali,na uso unakuwa kama wa mzee,wewe kama haijakudhuru mshukuru Mungu,lakini sijui age yako na umevuta kwa muda gani,lakini God forbid iko siku utaelewa nachokisema.

twenty years now(siojoke)sijawahi experience unayosema zaidi ya faida..uchizi wa ndugu yako hata kabla nadhani hakuwa na akili timamu lakini kwakuwa alikuja kuwa mtumiaji wa bangi mkaunganisha makapata jibu lakini hukugundua kama alikuwa natumia vitu vingine tofauti na bangi,hata pombe inasababisha uchizi
 
Back
Top Bottom