Nini madhara/ faida ya bangi?

Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.

Mkuu OMEGA uko sahii kabisa mi kuna vijana nilisoma na wengine nimekua nao mtaani wao waliona bangi ndio ujanja...sasa shule iliwashinda maisha wamepigika matokeo yake siku ni kunitia mizinga ya buku buku kila siku yahani sina hata amani asubuhi nikiwa naenda job au jioni nikirudi...washikaji tunaringana umri ila wanaanza kukuita bro...ganzi sio kabisa ila ni bora mara mia ya poda
 
Last edited by a moderator:
Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.

Bangi ni kweli sio nzuri, ila utafiti wako umekosea kwa kusema asilimia kubwa ya watumiaji unaowafahamu wamewehuka sababu ya bangi. Hiyo tafiti ina walakini. Mf. Tatifi za pombe kwamba zinamaliza maisha ya watu kwa vifo..ni kweli ila hakuna tafiti ya kuonesha ni watoto wangapi wanazaliwa kwa sababu ya pombe hiyo hiyo! Rate ya vizazi na vifo vinavyosababishwa na pombe ni ipi kubwa?

Kila kitu ni kwa kiasi, ndioml maana wanaohalalisha bangi wameweka kwa ajili ya tiba na utabibu so wanatumia kiafya na kwa uangalizi maalum.

Bangi haihitaji stress..so mvutaji anatakiwa awe ametulia kiakili,pia awe well financially mambo ya vyakula na maji hasa matunda kwa wingi.sasa ukijumlisha stress na kutobika mifuko mtu lazima achizike.

Hao unao ona wamedata mtaani ni asilimia ndogo sana ya wavutaji.wengine utashangaa ukiwaona au ukijua kuwa ni wavutaji.

Bottom line bangi ni nzuri, ila si nzuri kwa wote.
 
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja sheria, lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaovuta bangi ni watu watulivu na wenye hekima sana, nawafahamu watu wengi ambao ni high profile hapa kwetu Tanzania wanaotumia huu mmea, wanasiasa, wafanyabiashara, madaktari na watu wengine wenye mawazo panufu. Leo napenda tuangalie faida kadhaa za mmea huu.

-Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer
Cells - ABC News)

-Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)

-Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.

Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.

Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.

Tehe teheh umenifurahisha sana. Hivi ukiruhusiwa huo mjani si patachimbika au ni fikra zangu tu?
 
Huwezi vuta bangi afu ukashindia soda ukabaki sawa

Donts za bangi, ka,a mvutaji.

1. Lazima ule chakula cha kushiba na chenye nguvu
2. Lazima ufanye kazi, kuunguza bangi uloivuta
3. Lazima uweke wazi kwa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mvutaji. Kimtu kinavuta bangi afu hata kwao hawajui kama kinavuta afu kinategemea kibaki sane? Majanga
4. Lazima uwe na ratiba, sio unavuta tuu kama unakunywa chai
5. Ujue historia ya ukoo wenu, kama unaendana na bangi. Koo zingine vichwa panzi, hata wakienda tu high skul wanadata.
6. Lazima ujue stail bora ya usokotaji, na uvutaji. Kuvuta kwa kiko cha maji ni nzuri zaidi.

Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.
 
Huwezi vuta bangi afu ukashindia soda ukabaki sawa

Donts za bangi, ka,a mvutaji.

1. Lazima ule chakula cha kushiba na chenye nguvu
2. Lazima ufanye kazi, kuunguza bangi uloivuta
3. Lazima uweke wazi kwa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mvutaji. Kimtu kinavuta bangi afu hata kwao hawajui kama kinavuta afu kinategemea kibaki sane? Majanga
4. Lazima uwe na ratiba, sio unavuta tuu kama unakunywa chai
5. Ujue historia ya ukoo wenu, kama unaendana na bangi. Koo zingine vichwa panzi, hata wakienda tu high skul wanadata.
6. Lazima ujue stail bora ya usokotaji, na uvutaji. Kuvuta kwa kiko cha maji ni nzuri zaidi.

nimependa uzoefu wako, nitakuja unifundishe jinsi ya kunyonga mjani kwa afya:A S thumbs_up:
 
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja sheria, lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaovuta bangi ni watu watulivu na wenye hekima sana, nawafahamu watu wengi ambao ni high profile hapa kwetu Tanzania wanaotumia huu mmea, wanasiasa, wafanyabiashara, madaktari na watu wengine wenye mawazo panufu. Leo napenda tuangalie faida kadhaa za mmea huu.

-Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer
Cells - ABC News)

-Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)

-Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.

Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.

Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.

Bob Marley alikuwa ni mvutaji mkubwa wa bangi but alikufa kwa kansa!! Mh!! Hapo kwenye bold hapo!!

Niliacha kuvuta bangi baada ya siku moja jamaa yangu kuvuta na akachaanganyikiwa akawa kama kichaa kabisaaa within a minutes. Tulimpeleka kwao tukamkuta dada yake home tukamwambia jamaa anaumwa na kichwa apumzike, dada alikuwa anakata kabichi ili apike mboga!! Jamaa alikula kabichi mbichi yooote mpaka ile ambayo ilikuwa haijakatwa kama nguruwe hadi dada mtu akaogopa sana akatutafuta tukamzingua ni homa tu hizo na vitu kama hivyo.

Tangu siku hiyo niliapa kutokuipitisha tena bangi usoni mwangu, namshukuru Mungu nilifanikiwa sana
 
Huwezi vuta bangi afu ukashindia soda ukabaki sawa

Donts za bangi, ka,a mvutaji.

1. Lazima ule chakula cha kushiba na chenye nguvu
2. Lazima ufanye kazi, kuunguza bangi uloivuta
3. Lazima uweke wazi kwa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mvutaji. Kimtu kinavuta bangi afu hata kwao hawajui kama kinavuta afu kinategemea kibaki sane? Majanga
4. Lazima uwe na ratiba, sio unavuta tuu kama unakunywa chai
5. Ujue historia ya ukoo wenu, kama unaendana na bangi. Koo zingine vichwa panzi, hata wakienda tu high skul wanadata.
6. Lazima ujue stail bora ya usokotaji, na uvutaji. Kuvuta kwa kiko cha maji ni nzuri zaidi.

Na uwakumbushe watoto wa ki sure wanaokula bangi ila hawajui kunyonga bora waache manake wahuni wana mix na mambo yao so wakivuta dope wanachizika wanadai ni bangi kumbe crack.

Eat what u kill urself! Ndio sharia ya ganja.
 
Navuta bangi mwaka wa saba huu....bangi ni poa sana......inanipa raha ya kipekee sana....inanipa utulivu wa akili na mawazo......inanipa hamu ya kupiga kazi kwa bidii kwa maana hiyo nimetimiza malengo yangu mengi sana kupitia bangi..... I LOVE YOU BANGI AND I WILL NEVER LEAVE YOU.......
 
unajua hebu jaribu kujiuliza maswali ya ufahamu,ni nani aligundua bangi na nani akagundua matumizi yake??????ukipata majibu sasa endelea na utafiti wako,but kwa upeo wangu mimi all human are created with the nature of GOD i mean uungu,sasa god's nature can not exit without third eye,hivyo kaa ukijua watu tabaka la juu hawawezi kuruhusu uhalali wa bangi kwasababu wanajua faida iliyopo kwenye bangi.
 
mfano mzuri mimi nimesoma GALANOS ckufichi yani kuna jamaa yangu alikua anapiga bangi mpaka akapewa jina kayaman from kingstone jamaika,sasa cha ajabu yule jamaa alikua na nguvu za ajabu sana yani namaanisha uwezo tofauti,alikua PCM na ukimfuata kabla hajavuta hawezi kusolve na alipiga kijiti tena cha single digit akapangiwa ifunda tech form5.
 
kwa ufupi ni kwamba kuna kitu kinaitwa third eye awakening,sasa hii kitu inahusiku hapa na ukitaka kuprove chunguza kuna wavuta bangi wakilala usiku wanawaona wachawi lakini asipovuta bangi haoni,hii ni kwasababu bangi ni mmea asili unaoamsha nguvu asili yani jicho la tatu(uungu) na ndio maana freemasons hawatak kuiruhusu huku wao wakiendelea kuitumia.
 
ufafanuzi zaid freemasons is not connected to GOD's nature that is atificial power(man made thing) usije ukachanganya mabo hapo
 
Hello,

Nime-observe wengi wanaovuta bangi wanakuwa wakorofi sana, na wababe hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuvuta bangi na kuwa MTU wa mabifu??

Kwa wanaovuta bangi au wanaojua kuhusu hili wanijuze...
 
Kwani kuna wavuta bangi humu?.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom