Nini maana ya Zawadi?

Nini maana ya Zawadi?

bigmomkipipa

Member
Joined
Jun 2, 2016
Posts
5
Reaction score
45
Wakati mwingine hili neno huwa Linanipa shida sana. Unakuta Mtu anakupigia simu au SMS Kuku salimia. Anauliza uko wapi hatuonani,ukimwambia nimesafiri tu kosaaaa." Unijie na zawadi" ndio atakachokwambia. Sasa najiuliza huyu MTU zawadi kwa kipi alichokifanya . maana hata ukirudi mkionana tu anadai zawadi. . nisaidieni pliz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom