streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 474
Of course nakukubali skyNi Sky Éclat.
Shukrani mkuu.Of course nakukubali sky
I agree with you Madam!Ni Sky Éclat.
Mleta mada ameshazikubali kama unataka kuzijua anzisha nawewe thread yako.I agree with you Madam!
Unaweza kututajia sifa za Eclat?.Nimeuliza hivyo kwakuwa kusema tu "Sky Eclat" ndiye wife material haitoshi pasina kuweka sifa zake.
Haitokuwa tofauti na atakayesema Neema, Aisha, Mariamu nk ndiye wife material bila kutaja sifa zao (Neema, Aisha, Mariam nk).
Asalaam.
Hata sizifahamu Madam nitazikubali vipi?Mleta mada ameshazikubali kama unataka kuzijua anzisha nawewe thread yako.
Hizo tu zinatosha mkuu?Awe ana jieshim na ana eshim wazazi wangu
Kigezo cha Umri unakichukuliaje mkuu?Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
Ahahaha kwa nini iwe wewe?Ni Sky Éclat.
+ msambwanda Wa haja.Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
Wanawake wote wangelikua na majibu kama haya aisee wanaume tungelikua na kazi sana.Mleta mada ameshazikubali kama unataka kuzijua anzisha nawewe thread yako.
Mimi ndio nimzidi atleast miaka 5Kigezo cha Umri unakichukuliaje mkuu?
huko sipo madame... wa kawaida tu..Msambwandwa wa haja hizo tamaa tu+ msambwanda Wa haja.
Haya sirhuko sipo madame... wa kawaida tu..Msambwandwa wa haja hizo tamaa tu