Nini Maana ya Wife Material?

Mie Nadhani ni.....
Wife material ni mwanamke ambaye utampata ambaye anazo sifa na vigezo vyote utakavyo hitaji, mwanamke utakaye mpata ambaye kakosa sifa hata moja Kati ya zile ulizo Zi ainisha Huyo hafai kuitwA wife material!
[HASHTAG]#over[/HASHTAG]
 
Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;

Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
Apendae familia yenu wakati gani kabla ya ndoa au baada ya ndoa
 
wife means mke,material means matter ...lete jingne hakna muda wa kupoteza kuzunguka wakat maana fupi ipo.
 
Habari za wakati huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nini maana ya wife material?
Wanaume wengi wanaotaka au kuwa na malengo ya kuoa huwa wanasema kuwa wanahitaji mtu aliye Wife material. Hivi huwa wanamaanisha nini wanaposema ivyo?

Ni kweli tunavijua vigezo vya wife material? Au tunatamka kimazoea bila kuangalia uzito wa Maana ya hilo swala?
Ni material gani huwa tunayalenga? Je kwa upande wa wanaotaka kupata wife material nao huwa ni materials kwa upande wa pili?

Utayatambue materials kwenye hii dunia ya materialistic?
Nawasilisha hoja kwenu wadau tuweze kusaidiana maarifa kuhusu haya mambo?
yaani huwa tunamaanisha mwanamke mwenye kila kitu mfano nyumba.gari.vitu vya ndani .pesa .mapenzi.vyoote hivi ni materials
 
wife means mke,material means matter ...lete jingne hakna muda wa kupoteza kuzunguka wakat maana fupi ipo.
Kiingereza kina uwanda mpana sana, material nayozungumzia ni A person who is qualified for a particular situation or activity' sijui wewe umeelewaje kuhusu wife material?
 
yaani huwa tunamaanisha mwanamke mwenye kila kitu mfano nyumba.gari.vitu vya ndani .pesa .mapenzi.vyoote hivi ni materials
nachojua wife material ni personality traits ila hayo majumba na magari sijui unamaanisha nn? Je asipokua navyo ina maana anakosa vigezo?
 
Back
Top Bottom