Nini maana ya "Wakili msomi"?

Pia mtu kuitwa wakili msomi kwako inakupa shida gani?
Ni nani aliye kuponzwa ukaenda kusomea ualimu harafu leo unaona gele kwa walio somea "usomi"
Infact, tumekubaliana taaluma yetu ni ya wasomi (learned prominent lawyer) na tulio wakaribisha kujiita wasomi ni madaktari wengine wote makida makida.
Tena uwe unawaita "mwanasheria msomi sana, wakili wa mahakama kuu, muheshimiwa mwabukusi
Sheria nayo ni usomi? Nyie ni vichwa panzi. Uwezo wenu ni mdogo sana ndiyo maana mwajiita wasomi kwa inferiority. Fani zinzosomwa na
Mademu vichwa maji ni fani nayo? Somea sayansi na teknolojia utengeneze software
 
Ni upumbafu mno kuwaitamawakili wasomi

Huwa nikiona anaitwa hvyk wala simzogelei maan kila kitu anajifanya anajuwa
 
Back
Top Bottom