Nini maana ya "Wakili msomi"?

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Kwani kuna Mawakili wapumbavu?

Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.

Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?

Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?

Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?

Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
 
Ni Mhaya mmoja alisoma Sheria na baadae kuwa wakili ndipo akaenda kwao Bukoba akaona ajipe ujiko zaidi kwasababu Wahaya wengi wamesoma hivyo akasema yeye ni wakili Msomi.

Nashangaa hili neno kama vile limesharasimishwa
 
Kwani kuna Mawakili wapumbavu?

Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.

Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?

Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?

Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?

Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Acha watu watambe na professional zao asee kwani shida iko wapi? Mfano mimi ukiniita Scientist aah burudani kabisa sabab nimeusotea sana
 
Labda wengine hawakusoma waliigilizia waliosoma wote wakapasua kwahiyo hawa waliosoma wakaona wajitengee ka-verification mark.
 
Kwani kuna Mawakili wapumbavu?

Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.

Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?

Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?

Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?

Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Kuitana msomi ni common law practice, mawakili/wanasheria huitana wasomiwao kwa wao na si kwa mtu nje ya field. Na pia pia Sheria ni dynamic thus wanasheria/mawakili wanasoma muda wote ili kuwa upto date, kwenye Sheria hamna formula au prescribed procedure so they argue tofauti na walimu kuna mitaala, wanasayansi wana formulas n etc, so the term msomi eminated from there
 
Back
Top Bottom