Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 853
- 1,640
Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”.
Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Na Ubani Ni Uvumba?Uvumba ni ubani
Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuriHuwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”.
Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.