I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,232 Reaction score 5,534 Aug 29, 2014 #1 Utamsikia mtu anasema sijaolewa au sijaoa ila naishi mtu. Wengine wana enda mbali zaidi ........naishi na mtu na tumejaliwa watoto kadhaa. Kuoa nini? Na kuishi na mtu ni nini? Hivi nyie ambao mnaambiwa hivyo mnajisikisje?
Utamsikia mtu anasema sijaolewa au sijaoa ila naishi mtu. Wengine wana enda mbali zaidi ........naishi na mtu na tumejaliwa watoto kadhaa. Kuoa nini? Na kuishi na mtu ni nini? Hivi nyie ambao mnaambiwa hivyo mnajisikisje?
M miss ngatara JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 473 Reaction score 167 Aug 29, 2014 #2 Kuoa ni kufinga ndoa lakin kuish ni kule kuamua kuoshi bila ndoa so mtu akisema hiv unajua huyu anazini na huyu anafanya tendo la ndoa
Kuoa ni kufinga ndoa lakin kuish ni kule kuamua kuoshi bila ndoa so mtu akisema hiv unajua huyu anazini na huyu anafanya tendo la ndoa