Means umefanya booking ya ndege mbili au zaidi separately na zinaoperate kwa masharti tofauti.
So ni kwamba katika kila kituo au connection utakuwa responsible kukusanya baggages zako na kwenda katika ndege nyingine.
Hiyo ni tofauti na utaratibu wa kawaida ambao umezoeleka na shirika za mdege husika zitafanya na kusimamia kila kitu hasa wakati wa kuconnect flight moja kwenda nyingine.
Nadhani self transfer ni cheap kuliko utaratibu wa kawaida. Unaweza kufuatilia zaidi kupitia hiyo website ya skyscanner.